Nadhani style nzuri ya kulala kwa wapendanao ni hii.

Nadhani style nzuri ya kulala kwa wapendanao ni hii.

Sipati picha kwa staili hii ya ulalaji unakuta joto kali na ndani huna feni alafu mwenza wako ana kajoto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mwenza wako akikuwekea mkono kifuani lazima utupilie mbali
 

Attachments

  • a3_large.jpg
    a3_large.jpg
    6.9 KB · Views: 145
Kuna namna nyingi sana ya mke na mme ya kulala usiku na usingizi ukawa mnono kabisa. Kwanza kabisa ile sheria isiyo rasmi ya mke akiolewa hapaswi kulala na nguo lazima izingatiwe.

Mkiwa hamjavaa nguo mi naona style ya kulala mke na mme wote watazame upande wa ukutani yaan mke awe mbele kisha mme awe kwa nyuma huku mikono yake ikiwa imemkumbatia mkewe.

Hapo hutopata njozi mbaya sijui unakimbizwa na mazombi au unataka kuuawa la hasha utakuwa ukipata njozi za furaha na raha tele. Utaota upo na mpenzi wako marekani mnafanya shopping, Au mpo mbuga za wanyama mnatarii ai mmejenga ghorofa kubwa mtaan kwenu.

Si watu wote wanapenda kulala hivyo ninavyopenda mimi saidia comment yako tujifunze njia zingine nzuri za kulala kwa wapendanao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom