We hii picha si mgegedo huu?![emoji1][emoji1][emoji1]
Wewe unafikiri hizo nchi zenye viwanda hawalali na wake zao!?Kwa style hii Tanzania ya Viwanda naiona ikisonga mbele kiilani
Acha unyimi skyHata nikiolewa nitalala na pyjama zangu, mje mkurupushwe moto au mwizi ameingia unaanza kutafuta nguo, yakahusu.
Kuna namna nyingi sana ya mke na mme ya kulala usiku na usingizi ukawa mnono kabisa. Kwanza kabisa ile sheria isiyo rasmi ya mke akiolewa hapaswi kulala na nguo lazima izingatiwe.
Mkiwa hamjavaa nguo mi naona style ya kulala mke na mme wote watazame upande wa ukutani yaan mke awe mbele kisha mme awe kwa nyuma huku mikono yake ikiwa imemkumbatia mkewe.
Hapo hutopata njozi mbaya sijui unakimbizwa na mazombi au unataka kuuawa la hasha utakuwa ukipata njozi za furaha na raha tele. Utaota upo na mpenzi wako marekani mnafanya shopping, Au mpo mbuga za wanyama mnatarii ai mmejenga ghorofa kubwa mtaan kwenu.
Si watu wote wanapenda kulala hivyo ninavyopenda mimi saidia comment yako tujifunze njia zingine nzuri za kulala kwa wapendanao.
Walimu wanapatikana usiku?!no wonder nchi haina walimu wa masomo ya sayansi
Utata ni kuwa mke yupo tayari kuamka?Hata mimi na mke wangu tunaipenda hiyo style, yaani full usingizi, kwanza hata kama ulikiwa huna nyege kwa mlalo huu ikifika usiku wa manane jamaa laazima asimame
Uko kama mamsap, muda wa kulala hataki usumbufu wa kushikana ilinipa shida mwanzoni ila nshajizoelea tu sasa.Huwa nikilala sipendi kushikwa na chochote kile zaidi ya shuka tu