Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia ya masaa 15. Novena hii ni maalumu kwa shida kubwa

realMamy

JF-Expert Member
Apr 28, 2024
3,456
7,655
NOVENA YA MT RITA WA KASHIA YA SAA 15

MAALUM KATIKA SHIDA KUBWA(Sali Novena hii kila saa. Hadi ufikishe saa zote 15 bila kukatisha . Saa 15 za Novena hii hukumbuka miaka 15 ambayo Mt Rita aliishi na kidonda Katika Paji la uso wake Hadi kifo chake mwaka 1457)

Ee Mungu chemichemi, huruma na msamaha ulimteua Mtumishi wako Rita wa Kashia ili awe mwombezi wa wote walio katika mahangaiko MAKUBWA.

Nakuomba kwa maombezi yake yenye nguvu, neema ya kuondokana na shida hii KUBWA

πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›

( hapa taja shida yako )

πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›

Bila maombezi yako Ee Mt Rita, siwezi kujinasua na shida hii KUBWA. Nakusihi uniombee kwa machozi yasiyokoma mbele ya Altare ya Mungu huko Mbinguni

Mungu hakukatalii wewe kitu chochote kwani wewe ni Mtakatifu na mwombezi wa yote yaliyoshindikana kwa akili za kibinadamu. Kwa njia ya Kristo Bwana wetu.

Amina.

Baba yetu x 3

Salamu Maria x 3

Atukuzwe x 3

LITANIA KWA MTAKATIFU RITHA WA KASHIA

-------------------

Bwana Utuhurumie,

Kristo Utuhurumie,

Bwana Utuhurumie,

-----------------------------------

Kiitikio *"Utuhurumie"

Baba wa Mbinguni, Mungu,

Mwana Mkombozi wa Dunia,Mungu,

Roho Mtakatifu, Mungu,

Utatu Mtakatifu, Mungu Mmoja,

-------------------

Kiitikio β€œUtuombee"*

Maria Imakulata Mama wa Mungu

Maria, Mama mfariji wa wanaoteseka

Maria, Malkia wa Watakatifu wote

Maria, Mwombezi mpenzi wa Mt Rita

-------------------

Kiitikio β€œUtuombee"*

Mt Rita, Zawadi toka Mbinguni:

Mt Rita, Mwombezi wetu mwenye nguvu:

Mt Rita, uliyejaliwa Utukufu:

Mt Rita, mstaajabiwa tangu utoto wako:

Mt Rita, mpenda upweke:

Mt Rita, Kielelezo cha usafi wa moyo:

Mt Rita, kielelezo cha upole wote:

Mt Rita, kielelezo cha mke mwema:

Mt Rita, kielelezo bora cha mama mtaratibu:

Mt Rita, kielelezo cha msamaha wa kweli:

Mt Rita, kielelezo hai cha kujikatalia:

Mt Rita, kioo cha maisha ya kitawa:

Mt Rita, kioo cha utii;

Mt Rita, mvumilivu wa kustajabiwa;

Mt Rita, shujaa wa kujitoa sadaka;

Mt Rita, shahidi katika kufanya toba

Mt Rita, mjane mtakatifu;

Mt Rita, mkarimu kwa masikini;

Mt Rita, mkarimu kwa masikini;

Mt Rita, mkereketwa wa kuitikia wito mtakatifu;

Mt Rita, aliyeingizwa utawani kimuujiza;

Mt Rita, harufu nzuri ya manemane;

Mt Rita, bustani ya kila fadhila;

Mt Rita, mpendezwa na Yesu Msulubiwa;

Mt Rita, uliyechomwa na mwiba kwenye paji la uso;

Mt Rita, binti mpendevu wa Bikira Maria;

Mt Rita, mwenye kiu ya upendo wa Kimungu;

Mt Rita, uliyevikwa utukufu;

Mt Rita, lulu ya mbinguni;

Mt Rita, utukufu wa shirika la Mt Augustino;

Mt Rita, tunu ya thamani ya Umbria;

Mt Rita, mwenye nguvu za utakatifu;

Mt Rita, msamaha wa wanaopata mahangaiko;

Mt Rita, mfariji wa wanaoteseka;

Mt Rita, nanga ya wokovu;

Mt Rita, mwombezi wa wagonjwa;

Mt Rita, mwombezi wa mambo yaliyoshindikana;

Mt Rita, kimbilio la walio hatarini;

Mt Rita, msaada wenye nguvu kwa wote;

Mt Rita, mastaajabio ya ulimwengu;

Mt Rita, uliyepokewa mbinguni kwa furaha;

-------------------

Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia, "Utusamehe Bwana"

Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia, "Utusikilize Bwana"

Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia "Utuhurumie"

-------------------

K: Umemtia alama Ee Bwana mtumishi wako Rita

W: Kwa mhuli wa upendo na mateso

TUOMBE:

Ee Mungu , ambaye katika wema wako wa daima, umependa kusikiliza maombezi ya mtumishi wako Rita. Utujalie kupitia maombezi yake, yale ambayo yameshindikana kwa nguvu za kibinadamu. Utuhurumie sisi tunaoteseka, uwasaidie wote wasiokuamini wajue kuwa wewe ni tuzo la wanyenyekevu, mfariji wa wote wenye hofu, na nguvu ya wanyonge. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Amina

------------------

πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›

Kila baada ya kusali novena ya kila saa , tunasali litania hii kwa saa zote 15
 
Acheni kuomba wafu

Mungu amewapa zaidi ya Zaburi 100 kila zaburi Inatatua shida utakayo

Mnaenda kuhangaika na Sala kuwatukuza wafu wa Roma wanaopeana utakatifu

HAKUNA JINA CHINI YA JUA WALILOPEWA WANADAMU ISIPOKUWA JINA LA YESU
Dini ni imani. Heshimu imani ya mtu
 
Upuuzi mtupu!
 
Kikubwa haiwadhuru wengine, hata ikiwa ya wiki nzima sawa tu.
 
Kwanini usimuombe mtakatifu babu yako ambaye unauhakika anaweza kukusikia kwakua una muunganiko nae? Yaani mzungu aliyekufa tena hao wabaguzi na washenzi wawe waombezi kwa watu weusi kama ninyi hivi inamake sense kweli?

Mnasemaga mambo ya imani kila mtu na yake sijui uhuru wa kuabudu, lkn si kwa kiwango hiki cha wapumbavu wa kiroma kuomba mijitu iliyokufa karne nyingi, na pengine kama sio uhalisia haina utakatifu wowote zaidi ya kupachikwa sifa za uongo na huyo papa mpumbavu wa Vatican.

Kama hizo sala zenu za kipuuzi zinafanya kazi nendeni mahospitalin mkaombe tuone miujiza, na sio kuhadaa watu humu na mifano ya majibu ya maombi kwa vitu rahisi ambayo hata bila maombi vinatendeka.

Basi hata mngefuata mafundisho ya biblia zenu ambazo zinasema wakuombwa ni Mungu pekee lkn ninyi mmejifanyia sanamu na mifano ya vitu visivyostahili mnavipa sifa za uongo, mnaviabudu na kuvitegemea, ninyi wajinga wa kidini amkeni mnapotezewa muda humo, maombi hayafanyi kazi yoyote, ndiomaana hakuna ushahidi wa jambo lolote lililotatulika kwa maombi.

Acheni uzushi
 
Dini ni imani. Heshimu imani ya mtu
Unaheshimu vip upuuzi?? Yaani mnajiita wakristo na mnaenda kinyume na biblia iliyokataza izo ibada zenu za wafu? Kwanza huyo mjinga Rita kapewa utakatifu kwa ushahidi upi? Ama kutoka Vatican yalipo makao ya ushoga? Yaani mjinga aliyehalalisha ushoga pia anakibali cha kutoa utakatifu?

Hata kama ni uendawazimu lkn ninyi wafuasi wa hili kanisa mnazingua sana, sijui huwa mnapewa nini huko makanisani mpaka akili hazifanyi kazi timamu
 
Punguza hasira
 
Kunywa maji kidogo
 
Wana tofaut gani na wanaoomba mizimu ya Africa?

Hawa wanaomba mizimu ya wazungu
 
Back
Top Bottom