Nadhani style nzuri ya kulala kwa wapendanao ni hii.

Nadhani style nzuri ya kulala kwa wapendanao ni hii.

kama English figure sawa ila kama African figure nyuma kama TV ya kichogo halafu amekula maharage aachie ile remix utaruka na kulala style yako mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata nikiolewa nitalala na pyjama zangu, mje mkurupushwe moto au mwizi ameingia unaanza kutafuta nguo, yakahusu.
Nguo zinatafutwa baada ya tukio kukamilika! Unakurupuka hivyo hivyo na suti yako uliyoshonewa na Mungu. Sababu ya hekaheka, hakuna mtu atakayekuwa na muda wa kukuangalia!! Ni nduki tuuuu!! Kwa kasi ya 4G[emoji125] [emoji125]
 
Nakuja kula pilau pamoja na kucheza kiduku!![emoji1][emoji1][emoji1]
Kama nakuona mkuu ukicheza ngoma ya makabila [emoji446] "[emoji445] bia zangu umekunywa! Utatoa? Hutoi?![emoji443]
2f75135cb1b7efafbc09b17af750b88c.jpg
 
siwezi lala nikiwa nimegusana ngozi na mtu yeyote hata mpenzi wangu baada ya tendo naenda lala kwenye kochi kiukweli sipende ngozi yangu uguswe kwanza nalala na nguo bafuni tu ndo navua nguo zote khaa mambo ya kidhungu ayo
Itakuwa wewe ni mbahili sana.
 
Back
Top Bottom