Nadhani sitaoa maishani

Nadhani sitaoa maishani

Yaani kuachwa na wanawake wawili tu unasema huoi tena..
Hayo ni maumivu ya kawaida na baada ya mwezi yataisha na utapata mwanamke mwingine na utamuita wife material.
 
Utajitesa bure, inawezekana kabisa wanawake wote unawajua au kujua background zao wasiwe interested na wew kabisa yani wasikupende hata,ila ukapendwa na watu usio wajua.
 
Utajitesa bure, inawezekana kabisa wanawake wote unawajua au kujua background zao wasiwe interested na wew kabisa yani wasikupende hata,ila ukapendwa na watu usio wajua.
Kweli kabisa

Kama mimi nilivyokupenda wewe
 
Ha ha hilo gume gume limemfanyaje?
Hahhahaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gume gume limeshashikia usukani, clutch, accelerator, brake na hand brake....jamaa amekaa tu kama abiria...hahahaha...
Gume gume lina sauti kuliko mwanaume, si nyumbani wala barabarani....jamaa katulia tulii..[emoji23][emoji23]

Namsihi huyu bwana atengue kauli na amshirikishe sana Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom