Nadhani sitaoa maishani

Nadhani sitaoa maishani

Njoo unioe mim mwaya kwanza ni mzuri kuliko hao ma ex wako, pili ntakusimulia background yangu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa vile unadhani naamini utabadilika na utaoa. Yawezekana hao wawili haikuwa riziki yako! Kama mwanaume unayekula na kushiba unatakiwa uoe vinginevyo utakuwa ukifanya "fujo" mitaani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo mnabembekeza wanawake na kuwapigia magoti wakati wa kuwaoa.

Unachotakiwa kufanya ni kuvaa sura ya mbuzi, roho ya simba na tabasamu la mamba.

Kamata mwanamke unayemtaka weka ndani sio lazima na yeye akutake au umbembeleze.

Cha msingi usibake tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ulivyofanya wewe mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mimi tu...
Mwenzako "anadhani hatooa" hana uhakika😂 nimemwelewa ataoa tu ila alidhani hatooa.

Hahah hivi unafikiria ukiwapa mabinti wanne tofauti mimba hautooa,utaoa kwa lazima muda mwingine hata mmoja tu utaoa mwenyewe bila kulazimishwa.Sio kila ndoa unaamua kuoa ila ndoa inakuja yenyewe tu
 
Mi mwenyewe nilikuwa kama wewe... Ila sahii naona upepo unabadilika hii Corona imefanya nielewe bunadamu tunaishi maisha mafupi sana , its better to live in the moment na mtu unae mkubali kutendwa na majaliwa...

Unaweza kutana na MTU ndani ya mwezi akakufanyia vitu ambavyo MTU ulie kua nae tokea udogoni hajakufanyia.. Yani akawa na upendo maradufu.

Historia ya mtu sio ya kuzingatia sana sababu watu hubadilika, cha msingi ni kimuomba Mungu akukutanishe nae yule alie kupangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzako "anadhani hatooa" hana uhakika😂 nimemwelewa ataoa tu ila alidhani hatooa.

Hahah hivi unafikiria ukiwapa mabinti wanne tofauti mimba hautooa,utaoa kwa lazima muda mwingine hata mmoja tu utaoa mwenyewe bila kulazimishwa.Sio kila ndoa unaamua kuoa ila ndoa inakuja yenyewe tu
Mimi nina uhakika
 
Kwenye maisha yangu nimewahi kukutana na mabinti wawili ambao niliwapenda kwa dhati. Mmoja aliolewa na mwingine amepata mtu mwingine.

Hawa wanawake walikuwa wazuri kinoma na najuana nao tokea wadogo hivyo baada ya kuwakosa hawa sidhani kama nitaoa. Sipendi mambo ya kuoa mtu ambaye simjui background unakutana nae ukubwani.
kwaiyo utajioa au?
 
Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu.
Ni vyema kama umeamua kutokuoa.
 
Back
Top Bottom