Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,952
- 210,299
😂😂😂😂Ukikua utaacha hizi ndoto mm nitaoa wa humuhumu
😂😂😂😂Ukikua utaacha hizi ndoto mm nitaoa wa humuhumu
Barabara ina kona mbili tu kulia na kushoto, muda ukifika utajua ukunje wapiKwenye maisha yangu nimewahi kukutana na mabinti wawili ambao niliwapenda kwa dhati. Mmoja aliolewa na mwingine amepata mtu mwingine.
Hawa wanawake walikuwa wazuri kinoma na najuana nao tokea wadogo hivyo baada ya kuwakosa hawa sidhani kama nitaoa. Sipendi mambo ya kuoa mtu ambaye simjui background unakutana nae ukubwani.
Sure.Mi mwenyewe nilikuwa kama wewe... Ila sahii naona upepo unabadilika hii Corona imefanya nielewe bunadamu tunaishi maisha mafupi sana , its better to live in the moment na mtu unae mkubali kutendwa na majaliwa...
Unaweza kutana na MTU ndani ya mwezi akakufanyia vitu ambavyo MTU ulie kua nae tokea udogoni hajakufanyia.. Yani akawa na upendo maradufu.
Historia ya mtu sio ya kuzingatia sana sababu watu hubadilika, cha msingi ni kimuomba Mungu akukutanishe nae yule alie kupangia.
Sent using Jamii Forums mobile app
yes madame na nashukuru ndoa yangu Ina miaka sita Sasa na hatuna ugomvi ule mkubwa.
Sawa.... Ila jua haumtendei haki mtu aliyepangwa kuja kuishi na wewe.....Kwenye maisha yangu nimewahi kukutana na mabinti wawili ambao niliwapenda kwa dhati. Mmoja aliolewa na mwingine amepata mtu mwingine.
Hawa wanawake walikuwa wazuri kinoma na najuana nao tokea wadogo hivyo baada ya kuwakosa hawa sidhani kama nitaoa. Sipendi mambo ya kuoa mtu ambaye simjui background unakutana nae ukubwani.