Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

Wengine tu watiifu lakini nyie wanaume wa siku hizi, tukiwatii mnatufanya ndio kama vile watumwa wenu. Mtu anakukosea unamsamehe, kesho anarudia, unamsamehe. Anazoea na dharau zinazidi. Siku nikiongea, mnasema mwanamke mjeuri. Chukulia maisha yako ni kioo. Kile unachofanya ndicho kioo kinachogeza. Ndivyo hivyo kwenye maisha. Ukinipenda, nitakutii na kukusikiliza. Ukinidanganya nitakudharau
 
Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa

Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi na zarau
Ukipata mwanamke mnyenyekevu mwenye kukuheshimu ujue umefanikiwa sana

Pia kuna kundi wanawake waliozalia nyumbani hawa nao ndio hawana sifa kabisa ya kuolewa kuna wanaume walijaribu kuwa sitiri lakini mwisho waliendelea na mahusiano ya awali
Tukubali Wanaume waoaji pia hamna, wengi wanapenda kitonga mwishoe wanaangukia kwenye useng*
 
Hapo kwenye viburi na dharau ongeza na ujuaji, yani hali ni mbaya sana mitaani..
🤣 🤣 🤣 ila mnawaharibia sana single mothers jamani. Kwani walikuw wana do na kuzalishwa na akina nani? Si nyie nyine
 
Uliowekeza kwenye kuoa ndio mnatuchosha sisi wajuba tunataka wanawake wenye viburi na dharau ili iwe rahisi kumuacha sasa wanyenyekevu huwa inachukua muda kumpigia chini kwahiyo inakuwa wanatupa kazi kimtindo
Kama mm aiseee nimenata kwa mtoto yaani anajua wajibu wake Hadi sio poa usafi , upole,unyenyekevu ,ucheshi, urembo, kichwani zimetimia na anajituma .....yaaani kunakipindi najutuaga kabisa kumsaliti na naumia yaaani naanza kutafuta justice ya ku equalize maujinga yangu siioni

Kuna muda tukitazamana usoni namuhurumia nasema mama ungejua umeolewa na mwanaume wa aina gani sijui Kama ungetabasam hivo

Ila sijawahi penda wanawake ila huyu nimejifunza kumpenda na kumuheshumu ,Hadi yeye mwenyewe anasema eti aliniomba Mimi kwa Mungu na akampatia Sasa nikijiangalia mtu mwenyewe ambaye niliombwa kwa mwenyezi Mungu naishia kujicheka tu
 
Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa

Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi na zarau
Ukipata mwanamke mnyenyekevu mwenye kukuheshimu ujue umefanikiwa sana

Pia kuna kundi wanawake waliozalia nyumbani hawa nao ndio hawana sifa kabisa ya kuolewa kuna wanaume walijaribu kuwa sitiri lakini mwisho waliendelea na mahusiano ya awali
Umeangalia proportion ya wanaume wanaofaa kuwa waoaji?

Maana mwenendo wetu haufai pia
 
Back
Top Bottom