Wanawake msisubirie tufe ndiyo muigize mnatupenda, tunafikieni hata tukiwa hai ili tukifa msionekane wanafiki

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,946
5,852
Ndugu zangu hongereni kwa majukumu.

* kuna desturi ya wanawake zetu kuwa wanafiki na kuigiza igiza upendo na heshima za uongo pale wanaume zao tukifa ili hali tukiwa hai walikua hawatupendi bali wanapenda mali zetu*

Nikweli kabisa wanawake wanatuchukia sana tukiwa hai ila wanaigiza upendo tukiwa na mali kumbe macho yapo kwenye mali zetu. wanatuona sisi ni sex toy zao, mashine zao za kubota kuwatafutia hela watuchune tufilisike alafu tuzeeke masikini na hata tufe ingali kipande cha ardhi hata pakuja kulazwa tukifa hawatukumbushi kununua.

Wanawake wanapenda na wanaamini kabisa sisi wanaume ni watu wa kufa mapema wa kwanza wa kwanza na tunawaacha wao duniani, yote haya ni ili wacheze na mali tulizo warithisha watoto wetu na wawe huru na michepuko yao kuwaingiza hata kwenye nyumba zetu huku wamewaziba midomo watoto wetu tuliowatoroka kwa kifo na kuwaacha wapweke bila baba

Ndugu zangu tukiwa hai wanawake wataonyesha manjonjo sana watatutesa sana ndani ya ndoa , watatunyima na kutunyanyasia tamuu zao, watatupigia makelele ndani ya nyumba ili tukose amani na furaha ya kurudi nyumbani mapema, watahakikisha wanatuvuruga tunaumwa na presha, maradhi ya moyo na hata kututelekeza ingali wagonjwa, watatupiga na vitu vizito sana na mbaya zaidi watatudharau kwakutushikisha watoto ambao siyo wa kwetu. Ila tukifa watajifanya kulia na kuhuzunika sana wataigiza walikua wanatupenda sana huku wakijifanya kuwa watatupenda na kutukumbuka daima zaidi na zaidi.

***Wanawake msilie tukifa furahini kama mlivyokua mnafurahia wakati mnatunyanyasa tukiwa hai, msivae nguo nyeupe na nyeusi kubwa kubwa , msijitande na kufunika vichwa vyenu kwa kanga, vitenge na mitandio, vaeni nusu uchi kama mlivyokua mnavaa mkiishi na sisi, vaeni majinsi mfunge na mishipi kama mlivyokua mnatuvalia mkitunyima tamuu zenu.

***Wanawake msitupost tukifa kwenye status zenu, hata kwenye mapage yenu msitupost tukifa, Tktok, Histagram, snap chat, Fb na page zingine msitupost kabisa. Kumbukeni enyi wake /wanawake zetu tukiwa hai hamtupost mnasubiri tufe ili mkajilize huko mitandaoni na kujifanya mlikua mnatupenda, huo ni unafiki jamii ilikua inaona na ndugu zetu watatusemea hakika

***Wanawake msipike kwenye misiba yetu kama mlivyokua mnakataa kutupikia tukiwa hai, msisafishe nyumba zetu kama mlivyokua mnatulaza pachafu, msiogeshe watoto wetu na kuwavika vyema waacheni wazurure kama mlivyokua mnawaachia tukiwa hai. Wanawake mlikua mnatulaza na kutushindisha njaa kwa kutukomoa, mnatulaza pachafu kutukomoa, hivyo hivyo tukomoeni tukiwa wanaume zenu tumekufa.

***Wanawake endeleeni kufuga kucha tukiwa tumekufa, sukeni mpaka kiunoni msinyoe nywele zenu kama mlivyokua mnatufanyia tukiwa hai, mlifuga kucha na kukataa kutumenyea ndizi, mlisuka nywele ndefu na kukataa kutufulia na kudeki ndani kwa kisingizio nywele ni ndefu zinagusa chini, fanyeni hivyo hivyo tukiwa tumekufa

Wanawake msisubirie tukafa mkajifanya mbele za watu mlikua mnatupenda, jamii na ndugu zetu wanajua kabisa enzi zetu tukiwa hai mlikua mnatutesa na kutunyanyasa sana. Jamii itatusemea , ndugu zetu watatusemea hata huko mahakamani watasimama kutuongelea mazuri, mbingu na ardhi zitashuhudia na kubaki mashuhuda wetu ili hali sisi tumelala chini ya ardhi

Wanawake sisi wanaume tunawapenda ingali mpo hai hata mkifa tunawapenda na kuwa miss sana ,tunaumia na kuugua sana mnapotuacha wenyewe na kutangulia mbele za haki. kwa kweli iliyo mioyoni mwetu inashuhudia ndani mwetu ndiyo maana wanaume wengi wanawake zetu mkifa mpaka tukae sawa ni muda mrefu sana na wakati mwingine tunaanguka kiuchumi na kuugua Visukari, presha, magonjwa ya moyo hata kupata kiharusi. ila nyie mnatuchukia tukiwa hai na kuigiza kutupenda tukishakufa baada ya muda mnaenda kuolewa na kutelekeza makaburi yetu pamoja na watoto wetu. Mtaacha makaburi yetu yakizungukwa na michongoma. ili hali nyie makaburi yenu tunayakumbuka , tunayajengea kwa simenti nzito na kuyapalilia vizuri maua kuwaenzi wanawake zetu.

Wanawake tupendeni, tutii na mtuheshimu tukiwa hai hatakama mnatunafikia kwa unafiki wenu ili siku tukifa mkitunafikia kutupenda ionekane mnatupenda na siyo kuigiza
 
Mzee kwani umekufa kisha ukaigiziwa unapendwa?
 
Back
Top Bottom