Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

siku ujaribu kujipaka pilipili kifuani..., la kwanza aking'ata, tuone kama atang'ata tena la pili
 
Ndugu yangu huenda ukawa unagonga zombie! si unajua duniani kuna viumbe kila aina.
 
Na ninyi mnaparamia mno, ndio mana mnakutana na mambo yasiyoeleweka.Tendo la ndoa Mungu amelipanga lilete furaha na amani kwenye nyumba.The fact kwamba limeleta kero ni wazi kuna shida.Huyu dada inawezekana ana mapepo.Kama unampenda sana nakushauri wewe mwenyewe umrudie Mungu, halafu umpeleke kwa watumishi wa Mungu aombewe kisha mfunge ndoa.
Wasalaam,

Nina tatizo ndugu zangu,tena tatizo kubwa sana.Kifupi ni kwamba mimi nina mpenzi wangu ambaye kwasasa yapata miezi sita toka tulipoanza mahusiano yetu. Nampenda sana na mimi nadhani ananipenda sana.

Nimeandika nadhani kwa kuwa sipo ndani ya moyo wake lakini kwa vitendo na maneno ni wazi kuwa ananipenda sana. Lakini tatizo lililonifanya nije hapa kwenye jukwaa letu ni juu ya hali inayomtokea mwenzangu tukiwa kwenye tendo.

Mwenzangu kila anapokaribia kukifikia kile cha mlima kilimanjaro basi huning'ata kifuani kwa meno na kunisababishia maumivu makali sana na ikitokea nimemuweka staili tofauti hasa dogstyle basi kama godoro halina foronya basi hujikuta akilitoa vipande vipande kutokana na hali inayomtokeaga.

Lakini kingine kinachonishanga ni hili.Baada ya kumaliza tendo na akaniona natokwa na damu kifuani au akiona chini kuna vipande vya godoro huonyesha kushangazwa na hali pia huniuliza kipi kilichonisibu.Kwa kweli hali hii imenichosha sana na kila ninapojaribu kumwambia ukweli na jinsi anavyoniumiza huwa haamini na kudai kuwa namsingizia.

Je, wanajukwaa wenzangu kunamtu ameshawahi kukutana na hali hii? Je kwa kina dada je nikweli kuna raha za aina hii ambazo husababisha kero kwa watu wenu?

Naomba msaada na ushauri wenu maana mpaka kufikia hapa kifua changu kimejaa makovu kutokana na meno.

 
Na ninyi mnaparamia mno, ndio mana mnakutana na mambo yasiyoeleweka.Tendo la ndoa Mungu amelipanga lilete furaha na amani kwenye nyumba.The fact kwamba limeleta kero ni wazi kuna shida.Huyu dada inawezekana ana mapepo.Kama unampenda sana nakushauri wewe mwenyewe umrudie Mungu, halafu umpeleke kwa watumishi wa Mungu aombewe kisha mfunge ndoa.
Ahsaante mkuu
 
Yaaani wacha tucheka lakini haka kamchezo si masikhara jamani, kanatoaga watu ufahamu ati, ukimaliza unajishangaa kama ni wewe:doh:! Wacha tu nimpe pole mtoa mada

Nikweli fahamu zinapotea? It's amazing...mtoa mada hoja yake ni ya kweli.
 
Yawezekana kuna maumivu anapata na sio utamu ambayo inapelekea ajikaze atumie meno kukabiriana na maumivu hayo.

Ni kweli huwa kuna maumivu ....kama kweli yapo toeni ushuhuda jamani.
 
Ni kweli huwa kuna maumivu ....kama kweli yapo toeni ushuhuda jamani.

Ki ukweli Hakuna Maumivu Bali Mwanzo mpaka Mwisho Wa Mchezo Huwa Kiungo mchezeshaji na Tatizo hutokea Pale Anapokaribia Kufunga tu. na hata inapotokea amening'ata Hunipa pongezi kwa kumfikisha safari yake
 
Ibra punguza maujuzi kaka. Ila ndio walivyo especially akikutana na maujuzi hadimu....wanang'ata ukizubaa hata pua mdomo na kwenye paji la uso, na anakua serious kabisa like she goes for the kill... wanafinya...pia zile ngumi za kike kifuani. Halafu akipata fahamu anacheka..uwe una muwahi unamkamata kwa nguvu...kama vile wale wanaotolewa mapepo hahahahaa. Maufundi kaka...hajawahi huyo.
 
Iyo n kweli kabisa huwatokea baadhi ya watu hta shemeji yenu ni mmoja wapo,wazungu wanaita love bites,mm wangu huwa anajitambua lkn anakoose control na kujikuta amening'ata na huwa anaomba samahani na kw kuwa nampenda namvumilia.hapa nilipo nina alama za meno shingoni na maeneo ya kifua
 
Kwa maelezo yako juu ya mwandani wako inaonyesha mahusiano yenu sii halali na kinachoendelea hapo haki swahili ushauri ni nini ufanye. Ungetanabaisha kuwa ni mkeo ushauri ungepata tena na pole nyingi ila kwa sasa kilichopo na cha muhimu acha zinaa kwa sababu shetani anazidi kukupa alama mwilini mwaka kitu ambacho ni aibu uzeeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom