Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

Mpeleke kwa Ngwajima ana wajulia sana nasikia hata F alikuwa hivyo......hahahaha huo ni mzigo wako beba ndugu...
 
Waigizaji hao wakachukulie pesa kirahisi... Mshikishe ukuta tuone kama atang'ata cement.... Yeh si anapenda kutafuna!??
 
Ngoja mpaka akung'oe koromeo ndio utajua ujui 😂😂😂 huyo ni vampire umeingia naye kwenye mahusiano
 
1622225960510.png
Pole sana mkuu kwa adha ya uharibifu na kukosa amani hiki kifaa mahususi kitakusaidia kuepuka hayo usimuache wakati suluhisho lipo bwana mvalishe mithili ya balakoa
 
Nasikia zile helmet za TVS ni nzuri sana..hakikisha anavaa kila unapokuwa nae!!. na wewe uwe unavaa chest cover za sanlg
 
Wanajukwaa, jamaa yetu ameshafariki!

Amwsahau bugudha za kung'atwa. Nadhani kuna njemba nyingine sasa hivi ndiyo inapitia maumivu!
 
Simple mkuu...hakikisha kabla ya kuanza unafunga shingo yake kwenye tendegu, wewe unachukukua kipande cha mbao ya mninga unakinga nayo kifua...ikishikana hayo yote akianza kukutafuna tuu piga kelele za mwiziii mwiziiiiiiIiiiiiiiiiiii!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom