Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

Ibra punguza maujuzi kaka. Ila ndio walivyo especially akikutana na maujuzi hadimu....wanang'ata ukizubaa hata pua mdomo na kwenye paji la uso, na anakua serious kabisa like she goes for the kill... wanafinya...pia zile ngumi za kike kifuani. Halafu akipata fahamu anacheka..uwe una muwahi unamkamata kwa nguvu...kama vile wale wanaotolewa mapepo hahahahaa. Maufundi kaka...hajawahi huyo.

Mkuu Ahsante Sana, Kuna Wakati Napataga Hamu Ya Maji Ya Chumvi Lakini Naogopa Kuharibia uso wangu
 
Mie nashauri wewe control the game Usiwe unaumia. Na ujue kwamba atakuja kuacha..ila ndio usije ukazani kuna mtu anapiga nje na kung'atwa...uanze tena kudai oooh mbona siku hizi huning'ati.
 
Mie nashauri wewe control the game Usiwe unaumia. Na ujue kwamba atakuja kuacha..ila ndio usije ukazani kuna mtu anapiga nje na kung'atwa...uanze tena kudai oooh mbona siku hizi huning'ati.

Hahahahaha!!!!! Sawa Mkuu
 
Mkuu Ahsante Sana, Kuna Wakati Napataga Hamu Ya Maji Ya Chumvi Lakini Naogopa Kuharibia uso wangu

Chumvini upo safe na meno, ila uwe mwangalifu mateke. Kotekote control the game..own the gane. You will be safe...
 
Ibra punguza maujuzi kaka. Ila ndio walivyo especially akikutana na maujuzi hadimu....wanang'ata ukizubaa hata pua mdomo na kwenye paji la uso, na anakua serious kabisa like she goes for the kill... wanafinya...pia zile ngumi za kike kifuani. Halafu akipata fahamu anacheka..uwe una muwahi unamkamata kwa nguvu...kama vile wale wanaotolewa mapepo hahahahaa. Maufundi kaka...hajawahi huyo.
Ha ha ha! Duuuu! kumbe na wewe ume experience eeh? Ila hio solution yako imeniacha hoi, itabidi aifanyie tu kazi ajiokoe na munkari wa mupenzi
 
Ha ha ha! Duuuu! kumbe na wewe ume experience eeh? Ila hio solution yako imeniacha hoi, itabidi aifanyie tu kazi ajiokoe na munkari wa mupenzi

That's one quick solution. Kumvizia mtu kama kwenye mieleka vile...hahaha ...unasoma the next move coming....hahaha then unamkamata mpaka pumzi zitakapo mrudia...
na kicheko juu cha aibu nakujidai anafunika uso.
 
Ha ha ha! unanitafuta ushahidi eeh? Rejea post yangu, jibu lipo hapo:dance:

Sio ushahidi bana.....hahaha just imagine wewe hata sikujui na unaona aibu kufunguka...besti yangu huwa hajibu kabisaaa hata ufanyeje...anacheka na kuua topic...but it's so amazing...a pretty thang turning into a commando!!!....I always wonder..for the first time nasikia this from the other lady..(u).
 
Kama utani vile....lakini duh.Kuwa kama askari mkuu....usizubae.Ukae macho kama dereva wa daladala😀😀
 
Wasalaam,

Nina tatizo ndugu zangu,tena tatizo kubwa sana.Kifupi ni kwamba mimi nina mpenzi wangu ambaye kwasasa yapata miezi sita toka tulipoanza mahusiano yetu. Nampenda sana na mimi nadhani ananipenda sana.

Nimeandika nadhani kwa kuwa sipo ndani ya moyo wake lakini kwa vitendo na maneno ni wazi kuwa ananipenda sana. Lakini tatizo lililonifanya nije hapa kwenye jukwaa letu ni juu ya hali inayomtokea mwenzangu tukiwa kwenye tendo.

Mwenzangu kila anapokaribia kukifikia kile cha mlima kilimanjaro basi huning'ata kifuani kwa meno na kunisababishia maumivu makali sana na ikitokea nimemuweka staili tofauti hasa dogstyle basi kama godoro halina foronya basi hujikuta akilitoa vipande vipande kutokana na hali inayomtokeaga.

Lakini kingine kinachonishanga ni hili.Baada ya kumaliza tendo na akaniona natokwa na damu kifuani au akiona chini kuna vipande vya godoro huonyesha kushangazwa na hali pia huniuliza kipi kilichonisibu.Kwa kweli hali hii imenichosha sana na kila ninapojaribu kumwambia ukweli na jinsi anavyoniumiza huwa haamini na kudai kuwa namsingizia.

Je, wanajukwaa wenzangu kunamtu ameshawahi kukutana na hali hii? Je kwa kina dada je nikweli kuna raha za aina hii ambazo husababisha kero kwa watu wenu?

Naomba msaada na ushauri wenu maana mpaka kufikia hapa kifua changu kimejaa makovu kutokana na meno.

Ni rahisi cha kufanya hakikisha unafanya dogstyle lakini sakafuni isiwe kwenye godoro hutapata hasara wala kifua hakitajeruhiwa
 
Usiogope, mbona huyo ni wa maana sana? Kila unapomfikisha kileleni hawezi kujisingizia. Safi saana tu. Sasa nakushauri; Chonga kipande kigumu cha mbao mviringo, kiasi kwamba hakita muumiza mdomoni, wala hawezi kukutanisha meno akiuma, awe akikitumia mnapoanza mechi yenu ya kiurafiki. Hawezi kukivunja kwa meno wala hataweza tena kukuuma kifua chako. Akikataa kukiweka mdomoni, huyo ana lake jambo. Usimwache mrembo huyu, anakufaa sana
 
Kuwa nae Pekee Ni Pesa.. Ndio Maana Nipo nae na tunafuraha na maisha ingawa meno ndiyo tatizo

silaha pekee ya kuepuka uzinzi na uasherati ni kumuogopa Mungu you feel proud for such foolishness unajitangaza ujinga how old are you by the way ? wenye pesa wanafanya investment ili kupata return wewe ume invest wapi may be
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom