Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

ibra87

tumia hii kitu hapo chini mkuu.....akikuuliza mwambie 'fetish' inakupa mzuka!!!!

GSD-leather-dog-muzzle-m11_LRG.jpg

images

Ahsante Mkuu lakini miguno Yake Nitaisikiaje?
 
Last edited by a moderator:
Wasalaam,

Nina tatizo ndugu zangu,tena tatizo kubwa sana.Kifupi ni kwamba mimi nina mpenzi wangu ambaye kwasasa yapata miezi sita toka tulipoanza mahusiano yetu. Nampenda sana na mimi nadhani ananipenda sana.

Nimeandika nadhani kwa kuwa sipo ndani ya moyo wake lakini kwa vitendo na maneno ni wazi kuwa ananipenda sana. Lakini tatizo lililonifanya nije hapa kwenye jukwaa letu ni juu ya hali inayomtokea mwenzangu tukiwa kwenye tendo.

Mwenzangu kila anapokaribia kukifikia kile cha mlima kilimanjaro basi huning'ata kifuani kwa meno na kunisababishia maumivu makali sana na ikitokea nimemuweka staili tofauti hasa dogstyle basi kama godoro halina foronya basi hujikuta akilitoa vipande vipande kutokana na hali inayomtokeaga.

Lakini kingine kinachonishanga ni hili.Baada ya kumaliza tendo na akaniona natokwa na damu kifuani au akiona chini kuna vipande vya godoro huonyesha kushangazwa na hali pia huniuliza kipi kilichonisibu.Kwa kweli hali hii imenichosha sana na kila ninapojaribu kumwambia ukweli na jinsi anavyoniumiza huwa haamini na kudai kuwa namsingizia.

Je, wanajukwaa wenzangu kunamtu ameshawahi kukutana na hali hii? Je kwa kina dada je nikweli kuna raha za aina hii ambazo husababisha kero kwa watu wenu?

Naomba msaada na ushauri wenu maana mpaka kufikia hapa kifua changu kimejaa makovu kutokana na meno.

hii awam ya nne lazima sote tufike kilelen kabla ya trh 25 october.
 
Sasa hapo ukiingia kwenye ndoa si mwisho wa siku utabaki huna nyama kifuani
 
Wasalaam,

Nina tatizo ndugu zangu,tena tatizo kubwa sana.Kifupi ni kwamba mimi nina mpenzi wangu ambaye kwasasa yapata miezi sita toka tulipoanza mahusiano yetu. Nampenda sana na mimi nadhani ananipenda sana.

Nimeandika nadhani kwa kuwa sipo ndani ya moyo wake lakini kwa vitendo na maneno ni wazi kuwa ananipenda sana. Lakini tatizo lililonifanya nije hapa kwenye jukwaa letu ni juu ya hali inayomtokea mwenzangu tukiwa kwenye tendo.

Mwenzangu kila anapokaribia kukifikia kile cha mlima kilimanjaro basi huning'ata kifuani kwa meno na kunisababishia maumivu makali sana na ikitokea nimemuweka staili tofauti hasa dogstyle basi kama godoro halina foronya basi hujikuta akilitoa vipande vipande kutokana na hali inayomtokeaga.

Lakini kingine kinachonishanga ni hili.Baada ya kumaliza tendo na akaniona natokwa na damu kifuani au akiona chini kuna vipande vya godoro huonyesha kushangazwa na hali pia huniuliza kipi kilichonisibu.Kwa kweli hali hii imenichosha sana na kila ninapojaribu kumwambia ukweli na jinsi anavyoniumiza huwa haamini na kudai kuwa namsingizia.

Je, wanajukwaa wenzangu kunamtu ameshawahi kukutana na hali hii? Je kwa kina dada je nikweli kuna raha za aina hii ambazo husababisha kero kwa watu wenu?

Naomba msaada na ushauri wenu maana mpaka kufikia hapa kifua changu kimejaa makovu kutokana na meno.

dah yani unatuelezea huo uasherati , sijui umekula maharage ya wapi wewe
 
Badilisha venue.
Siku moja mchape nao sehemu tofauti...hebu jaribu kumchapa nao kwenye Meza, mpe hiyo dogystyle halafu uone atatafuna nini. Tafuta ile meza inayoteleza ama ya kioo. kama vipi hata kwenye Tiles au mshikishe ukuta.
 
Jini mahaba huyo. Bado tu kukutoboa shingo na kukunyonya damu.
 
Kufika kileleni kuna raja yake jamani loolll pole itaisha mm wakati naolewa nilikuwa nayo ila sasaivi nishazoea simn'gati tena pole mno..
 
Yawezekana kuna maumivu anapata na sio utamu ambayo inapelekea ajikaze atumie meno kukabiriana na maumivu hayo.
 
Duu! ukichelewa kufa utaona mengi,sasa wewe unaetafunwa unastahmilia mpaka akuache mwenyewe au mpaka vipande vya nyama ya mwili wako vitoke kama anavyotoa vipande vya madogoro au ? manake nahisi mwili wako 60% inaalama za meno,usisahau sindano manake meno mtu akikutafuna hua sumu..

no...akiwa na hasira ndo yana sumu......ila katika utamu ni mapepo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom