Yaaani wacha tucheka lakini haka kamchezo si masikhara jamani, kanatoaga watu ufahamu ati, ukimaliza unajishangaa kama ni wewe:doh:! Wacha tu nimpe pole mtoa madaHahaaa! kweli dunia ina mengi
mfunge kamba mdomoni vinginevo siku nyingine atakung'oa korodani
Mkuu Usishangae hapa nilipo imebidi ninunue Foronya ngumu
Lazima akatae kuamini cause it is quite embarrassing! Pole Sana! Lakini si unampenda? :redface:Tena Haamini kabisaa