Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

Ana asili ya Jogoo kama sio roho za mizimu au mapepo.
Akiombewa tatizo lake ni dogo.
 
silaha pekee ya kuepuka uzinzi na uasherati ni kumuogopa Mungu you feel proud for such foolishness unajitangaza ujinga how old are you by the way ? wenye pesa wanafanya investment ili kupata return wewe ume invest wapi may be

Siku Utakapogundua Wapi Nilipowekeza na Kujua Who am nadhani hizi shombo zako zitakwisha Mkuu
 
We muongo na kama unabisha weka picha ya hicho kifua tuone makovu.
 
aisee yaani ww pamoja na kung`atwa kote huko bado upo nae tuu? huyo atakuwa na pepo mshindo bila shaka anahitaji maombezi maalum
 
uwe unamvalisha zile wanazovaaga mabondia mdomoni.
 
Wewe makusih uendelee nae hivyo atozea tu ni mabadiriko ya kimwili.je wewe ndo ume mtoa bikira?
 
Daah pole sana yaan fanya utafit mapem kaka ucje ukafa ivi unajiona pia huyompenzi wko kama ukimuuliza anakujibu hajui hyo inatisha mpeleke maombi maana hii ni hataree
 
Uyo ukiona ansjaribia
Mwambie ashike ukuta, aking' ata ukuta na kuumia hatarudia tena !!!!!
Pumbafu sake.. ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom