Nadhani hii ndo clear video ya hitilafu ya Ethiopia airlines kutoka kisanduku cheusi,Je Tanzania tuna mpango nazo?...

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kuna sehem muhimu hii photo imepatikana na kusemekana kwamba ndo ndege ya Ethiopia iliyopata ajali, lakin kabla hatujajiaminisha zaid kwamba ni yenyewe,

Kisanduku kimepatikana saa saba mchana kwa mujibu wa ripota wa BBC

Hanna Temuari
BBC Amharic
Kisanduku cha kunakili data ya safari ya ndege ya Ethiopian Airlines ET 302 iliyoanguka Jumapili mjini Bishoftu, 60km kusini mashariki mwa mji mkuu, Addis Ababa, kimepatikana, Vyombo vya habari Ethiopia vinaripoti.
Mwandishi wa BBC anaeleza kwamba duru kutoka kampuni hiyo ya ndege Ethiopian imethibitisha kwamba 'black box' kimepatikana ila kimeharibika kidogo.
Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing ilioko Marekani inakabiliwa na maswali baada ya ndege hiyo kuanguka dakika sita baada ya kupaa na kusababisha vifo vya watu 157.

Tuangalie masuala haya muhimu,
Inaonekana ndege nyingi aina ya Boeing modern zinapaa abruptly kwenye angle 90 to 120 ambayo nimeshasikia mmoja wa wataalamu hapa JF akilifafanua kwa kina,

Lakin nimesikia pia mchambuzi wa masuala ya ndege wa Jarkata anasema Boeing mpya engine zake zipo mbele sana kulingana na old model, suala ambalo hata Boeing wenyewe walichelewa kutoa mwongozo na wameanza kuutoa baadae baada ya ajali kuanza kutokea,

Maelezo Muhimu haya

Mchambuzi wa safari za ndege aliyeko Jakarta Gerry Soejatman ameiambia BBC kuwa ''injini ya 737 Max iko mbele kidogo na juu kiasi na usawa wa mbawa zake ,ikilinganishwa na muundo wa awali wa ndege za Boeing . Hilo linaathiri mizani ya ndege''

Kamati ya usalama wa safari za taifa nchini Indonesia imebainisha kuwa safari za ndege za Lion Air 610 zilikuwa na hitilafu iliyotokana na moja ya kifaa kilichotengenezwa kwa ajili ya kumpatia rubani isharawakati ndege inapokuwa katika hatari ya kuanguka.

Uchunguzi kuhusu hitilafu hizo bado haujafikia matokeo ya mwisho juu ya chanzo cha mkasa.

Kifaa cha kubaini ajali na kazi ya programu ya software inayoendesha kazi hiyo inafanya kazi tofauti na ile ya miundo ya awali ya Boieng 737, lakini marubabi hawakuwa wameambiwa hivo.

katika kipindi cha siku chache baada ya ajali ya Lion Air, watengenezaji wa ndege ya Boeing walitoa muongozo wa namna ndege zinavyopaswa kuendeshwa"

1552338322198.png

Ethiopia wameshanunua ndege zaid ya 30 za aina hiyo ,na Leo zimeendelea na safari zake kama kawaida tena kuelekea Nairobi,

Ndege namba ET 302 yatua Nairobi
Ndege namba 302 kutoka Ethiopian Airlines imetua siku ya Jumatatu katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.Namba ya ndege hiyo ni kama ile iliyopata ajali siku ya Jumapili, dakika sita baada ya kupaa kutoka uwanja wa kimataifa wa Bole mjini Adis Ababa.Mhariri wa habari za biashara,BBC ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter akiwa uwanja wa ndege Nairobi.
1552338414579.png

Je Tanzania katika ndege tunazopanga kununua tuna mpango nayo hii ndege?
Maelezo kutoka kwa Bwana Matindi
''Ukiangalia ajali na jinsi unavyofanya biashara kuna husiano mkubwa sana'', alisema.

Bwana Matindi, aliongeza kuwa sehemu ambazo zinaripoti ajali nyingi za ndege huathiri biashara ya usafiri wa anga

Kufikia mwaka 2015 takwimu za usafiri wa anga Barani Afrika zilionesha thulithi mbili za ajali mbaya zilikuwa zikitokea barani humo lakini.

''Wakati huo biashara ambayo tulikuwa tukifanya alikuwa 3% pekee duniani kwasababu tulikuwa hatuaminiki'', anasema Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Tanzania,Ladislaus Matindi.

Hali hiyo hata hivyo imebadilika tangu mwaka 2016 kwasababu hakuna ajali mbaya iliyoripotiwa.

Bwana Matinda amesema kila ajali ya ndege hutoa nafasi kwa wataalamu wa usafiri wa anga kuboresha huduma za usafiri huo ili kuzuia ajali isitokee tena

KUJUA KISANDUKU CHEUSI PITIA HAPA
Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta - JamiiForums
 
Attachments

  • VID-20190311-WA0049.mp4
    6 MB · Views: 44
Hii ni video ya kutengeneza sio actual video...mara nyingi kwny air crash investgation huwa wanajaribu scenario tofauti kwny flight simulator.

Hapo naona kama ndege ili stall...hii inatokea kama pua ya ndege imeinuka juu zaidi na huwa kunakuwa na warning sounds ambazo zinamwambia pilot kama kuna tatizo kama akiwa hajarespond final warning huwa ni stick shaker hapo ile staring anayotumia kuongozea ndege huwa inatingishika kwanguvu.

Nadhani wakipata FDR na CVR zikiwa hazijaharibika siku mbili hizi tutajua tatizo lilikuwa nn mpk ajali ikatokea
 
ni kweli mkuu ila wameshavipata leo mchana saa saba walikuwa navyo na mara nyingi uwa haviaribiki
 
Ingekua Tanzania hii ishu wale makuwadi wa mabeberu ungesikia wanavyoitukana serikali
 
Kama wamevipata mchana vitakuwa vimeshaondoka kwenda USA within few hours tutapata information.

Lazima wachunguzi kutoka NTSB watakuwa waliingia Ethiopia toka jana
Hv hz nchi ndege zao zinapopata ajali huwa hawana NTSB wao? Nitashangaa nchi kama Ethiopia ,Qatar zenye midege kibao halafu wasiwe na wataalam wa kuchunguza ajali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sehem muhimu hii photo imepatikana na kusemekana kwamba ndo ndege ya Ethiopia iliyopata ajali, lakin kabla hatujajiaminisha zaid kwamba ni yenyewe,

Kisanduku kimepatikana saa saba mchana kwa mujibu wa ripota wa BBC

Hanna Temuari
BBC Amharic
Kisanduku cha kunakili data ya safari ya ndege ya Ethiopian Airlines ET 302 iliyoanguka Jumapili mjini Bishoftu, 60km kusini mashariki mwa mji mkuu, Addis Ababa, kimepatikana, Vyombo vya habari Ethiopia vinaripoti.
Mwandishi wa BBC anaeleza kwamba duru kutoka kampuni hiyo ya ndege Ethiopian imethibitisha kwamba 'black box' kimepatikana ila kimeharibika kidogo.
Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing ilioko Marekani inakabiliwa na maswali baada ya ndege hiyo kuanguka dakika sita baada ya kupaa na kusababisha vifo vya watu 157.

Tuangalie masuala haya muhimu,
Inaonekana ndege nyingi aina ya Boeing modern zinapaa abruptly kwenye angle 90 to 120 ambayo nimeshasikia mmoja wa wataalamu hapa JF akilifafanua kwa kina,

Lakin nimesikia pia mchambuzi wa masuala ya ndege wa Jarkata anasema Boeing mpya engine zake zipo mbele sana kulingana na old model, suala ambalo hata Boeing wenyewe walichelewa kutoa mwongozo na wameanza kuutoa baadae baada ya ajali kuanza kutokea,

Maelezo Muhimu haya

Mchambuzi wa safari za ndege aliyeko Jakarta Gerry Soejatman ameiambia BBC kuwa ''injini ya 737 Max iko mbele kidogo na juu kiasi na usawa wa mbawa zake ,ikilinganishwa na muundo wa awali wa ndege za Boeing . Hilo linaathiri mizani ya ndege''

Kamati ya usalama wa safari za taifa nchini Indonesia imebainisha kuwa safari za ndege za Lion Air 610 zilikuwa na hitilafu iliyotokana na moja ya kifaa kilichotengenezwa kwa ajili ya kumpatia rubani isharawakati ndege inapokuwa katika hatari ya kuanguka.

Uchunguzi kuhusu hitilafu hizo bado haujafikia matokeo ya mwisho juu ya chanzo cha mkasa.

Kifaa cha kubaini ajali na kazi ya programu ya software inayoendesha kazi hiyo inafanya kazi tofauti na ile ya miundo ya awali ya Boieng 737, lakini marubabi hawakuwa wameambiwa hivo.

katika kipindi cha siku chache baada ya ajali ya Lion Air, watengenezaji wa ndege ya Boeing walitoa muongozo wa namna ndege zinavyopaswa kuendeshwa"

View attachment 1043468

Ethiopia wameshanunua ndege zaid ya 30 za aina hiyo ,na Leo zimeendelea na safari zake kama kawaida tena kuelekea Nairobi,

Ndege namba ET 302 yatua Nairobi
Ndege namba 302 kutoka Ethiopian Airlines imetua siku ya Jumatatu katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.Namba ya ndege hiyo ni kama ile iliyopata ajali siku ya Jumapili, dakika sita baada ya kupaa kutoka uwanja wa kimataifa wa Bole mjini Adis Ababa.Mhariri wa habari za biashara,BBC ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter akiwa uwanja wa ndege Nairobi.
View attachment 1043472

Je Tanzania katika ndege tunazopanga kununua tuna mpango nayo hii ndege?
Maelezo kutoka kwa Bwana Matindi
''Ukiangalia ajali na jinsi unavyofanya biashara kuna husiano mkubwa sana'', alisema.

Bwana Matindi, aliongeza kuwa sehemu ambazo zinaripoti ajali nyingi za ndege huathiri biashara ya usafiri wa anga

Kufikia mwaka 2015 takwimu za usafiri wa anga Barani Afrika zilionesha thulithi mbili za ajali mbaya zilikuwa zikitokea barani humo lakini.

''Wakati huo biashara ambayo tulikuwa tukifanya alikuwa 3% pekee duniani kwasababu tulikuwa hatuaminiki'', anasema Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Tanzania,Ladislaus Matindi.

Hali hiyo hata hivyo imebadilika tangu mwaka 2016 kwasababu hakuna ajali mbaya iliyoripotiwa.

Bwana Matinda amesema kila ajali ya ndege hutoa nafasi kwa wataalamu wa usafiri wa anga kuboresha huduma za usafiri huo ili kuzuia ajali isitokee tena

Kufikia mwaka 2015 takwimu za usafiri wa anga Barani Afrika zilionesha thulithi mbili za ajali mbaya zilikuwa zikitokea barani humo lakini.

''Wakati huo biashara ambayo tulikuwa tukifanya alikuwa 3% pekee duniani kwasababu tulikuwa hatuaminiki'', anasema Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Tanzania,Ladislaus Matindi.

Hali hiyo hata hivyo imebadilika tangu mwaka 2016 kwasababu hakuna ajali mbaya iliyoripotiwa.

Bwana Matinda amesema kila ajali ya ndege hutoa nafasi kwa wataalamu wa usafiri wa anga kuboresha huduma za usafiri huo ili kuzuia ajali isitokee tena

KUJUA KISANDUKU CHEUSI PITIA HAPA
Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta - JamiiForums
Hongera, umepotumia muda mwingi kukusanya habari huku na huko ili kuweza kuwa na makala iliyokamilika. LAKINI HILI LA KUWEKA VIDEO YA KUSADIKIKA NDIO LIMEHARIBU MAKALA YOTE. nenda kwenye edit uondoe hiyo video feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv hz nchi ndege zao zinapopata ajali huwa hawana NTSB wao? Nitashangaa nchi kama Ethiopia ,Qatar zenye midege kibao halafu wasiwe na wataalam wa kuchunguza ajali

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchunguza ajali ya ndege (tena kama hiyo ambayo karibia kila kitu kimekua majivu) kunahitaji sayansi ya kwenda mwezini. NTSB ndio kazi zao hizi.

Kila nchi inatakiwa iwe na Safety Board yake kufanya uchunguzi. Haihitaji sayansi ya kwenda mwezi bali inahitaji elimu husika na experience. Inapotokezea ajali kama hio ya ET302, kunakuwa na Ethiopian safety board, Boeing, NTSB na wao wanakuwepo popote pale american made aircraft ikiwa imapata ajali, wanakuja kuchunguza na kuipa mapendekezo FAA na Manufacturer.
 
Back
Top Bottom