NACTE, kufuta uteuzi wa wanafunzi ni kichekesho!

NACTE, kufuta uteuzi wa wanafunzi ni kichekesho!

Wanakwambia congraturation your have been selected a certain course at certain college/institute
 
Mtoa mada yuko sahihi mm kuna bwana mdogo nilimfanyia selection tarehe 31 july selection status ikaonyesha kuwa amechaguliwa ila nimefungua account yake imerudi kama mwazo yaani wait for selection
Sasa hapo nashidwa luelewa
Ni wengi kaka imetutokea hiyo
 
Mtoa mada yuko sahihi mm kuna bwana mdogo nilimfanyia selection tarehe 31 july selection status ikaonyesha kuwa amechaguliwa ila nimefungua account yake imerudi kama mwazo yaani wait for selection
Sasa hapo nashidwa luelewa
Jamaa yangu ulikuta wapi mtu unaomba siku hiyo na kuchaguliwa? Akili ya kuambiwa changanya na yako
 
NACTE yaamua kufuta uteuzi wa wanafunzi ambao waliokuwa tayari wameshachaguliwa kujiunga na vyuo ni wale wa second selection yaanza upya tena haiwahusu first selection

Hii elimu yetu sijui inaelekea wapi aisee yaani hawapo serious kabsa labda wamejishtukia kwamba walichagua wasiokuwa na sifa
apo xx
 
Nilienda ofisi za nacte kanda ya ziwa,kuulza kuhusu mustakabali wa undergraduate uko vp, majibu yao yakawa hivi
Tuendelee kua na subira mpaka watakapo pata idhini ya kutoa majina kwani udahili ulikua uko tayari na majina wanayo wanasubr serikali (tcu)iwakubalie tu kuyatoa majina hayo ya udahili wa awali kuanzia mwz wa tatu hadi wa tano... Waombaji hao watolewe tu majina yao ,ukizingatia walikua nje ya tamko au agizo la serikali kua wa diploma /equivalent wawe na gpa ya 3.5
Daah ii msg itanifanya ata niote leo maan...
 
Hahahaha ntaelewa tu hii ndo serikal yetu vjana wanaisoma namba tu
 
Back
Top Bottom