NACTE, kufuta uteuzi wa wanafunzi ni kichekesho!

NACTE, kufuta uteuzi wa wanafunzi ni kichekesho!

Hizi habari wadau mnatoa wapi mbona kama mnapotoshana sana. Udahili gani huo uliofutwa na nani kaja na ushahidi kuwa udahiliwake umefutwa?
 
Udahili umefutwa
Mim nilichaguliwa adem ukaguzi SAS hiv nikianglia wamenirudsha kwenye mfumo nisubiri uteuzi
 
Hizi habari wadau mnatoa wapi mbona kama mnapotoshana sana. Udahili gani huo uliofutwa na nani kaja na ushahidi kuwa udahiliwake umefutwa?
PLEASE CHECK ADMISSION STATUS:

Congratulations! You have reached the end of admission application process, below is a summary of your application status.
Please review it and make follow up in the places which require your attention.

SNItemRecommendationActionStatusBasic Details1.Personal DetailsMake sure all your personal details are filled correctlyNAOKEntry Requirements2.Certificate of Secondary Education ExaminationRequired Qualification foundNAOKProgramme Choice3.You have made 6 Choice(s) out of 6Now Wait for selectionNAOK HII NI MFANO TU, NILICHAGULIWA IKAFUTWA, NIKAAMBIWA SIJSCHAGULIWA,LEO HII IMEKUJA HII TENA.
 
Mim naomba kuuliza kwenye system ya nacte diploma ya ualim in-service hakuna ila ukipiga sim vyuon wanasema nafasi zipo wazi tena nyingi tu na wanakubembeleza wakusajili bila kutoa elfu ishirin nyingine kama ulishalipia nacte. Sasa swali langu, kama vyuo vipo waz kwa nin kwenye system nacte wameondoa hii diploma?
.........DIPLOMA in pr imefutwa .......japo wenye mamlaka wajasema.........x,
 
Hayo majina yaliyotolewa na NACTE mnayapataje? Tafadhari mwenye link au namna ya kuyapata anisaidie
 
Mtoa mada yuko sahihi mm kuna bwana mdogo nilimfanyia selection tarehe 31 july selection status ikaonyesha kuwa amechaguliwa ila nimefungua account yake imerudi kama mwazo yaani wait for selection
Sasa hapo nashidwa luelewa
 
jaman kuonesha umechaguliwa kwenye profile utaona nini
 
Back
Top Bottom