NACTE, kufuta uteuzi wa wanafunzi ni kichekesho!

NACTE, kufuta uteuzi wa wanafunzi ni kichekesho!

Nilisha wambia humu kwamba ili NACTE ifanye kazi kwa weledi ni LAZIMA waziri wa elimu awaondoe wote walioko nacte na kuteua watu wengine ambao wako makini na kazi zao.
 
ACHENI KUPOTOSHA WATU HAWAJAFUTA BWANA NAINGIA KWENYE PROFILE YANGU MBONA INAONYESHA BADO NIMECHAGULIWA NA SIRUHUSIWI KUEDIT WALA KUAPPLY UPYA??
 
ACHENI KUPOTOSHA WATU HAWAJAFUTA BWANA NAINGIA KWENYE PROFILE YANGU MBONA INAONYESHA BADO NIMECHAGULIWA NA SIRUHUSIWI KUEDIT WALA KUAPPLY UPYA??
Inashangaza mtu anaamua kupotosha kwa makusudi bila kufatilia tatizo nini mie nimechAguliwa na sijaona badiliko lolote kwa profile.
 
NACTE yaamua kufuta uteuzi wa wanafunzi ambao waliokuwa tayari wameshachaguliwa kujiunga na vyuo na wale wa second selection yaanza upya tena.

Hii elimu yetu sijui inaelekea wapi aisee yaani hawapo serious kabsa labda wamejishtukia kwamba walichagua wasiokuwa na sifa
Acha kupotosha mkuu taarifa mhimu zote kuhusu nacte ingia kwenye updates zao siyo vijineno vya vijiweni mie nimechaguliwa mpaka sasa sijaona badiliko lolote labda wewe tu walikuchaguA kimakosa hivyo wameamua kukuondoa mkuu hiyo kawaida sana kutoke wala usipanik omba tena
 
NACTE yaamua kufuta uteuzi wa wanafunzi ambao waliokuwa tayari wameshachaguliwa kujiunga na vyuo na wale wa second selection yaanza upya tena.

Hii elimu yetu sijui inaelekea wapi aisee yaani hawapo serious kabsa labda wamejishtukia kwamba walichagua wasiokuwa na sifa
TAARIFA HII IKO WAPI please na ina maana gani wakati profile wengine wameshafuta na kuchagua kwingine baada ya kukosa first selection
 
NACTE yaamua kufuta uteuzi wa wanafunzi ambao waliokuwa tayari wameshachaguliwa kujiunga na vyuo na wale wa second selection yaanza upya tena.

Hii elimu yetu sijui inaelekea wapi aisee yaani hawapo serious kabsa labda wamejishtukia kwamba walichagua wasiokuwa na sifa
Una evdance
 
Tatizo NACTE pale kuna mizee mingi inafanya kazi kwa mazoea kama TANESCO.
 
hii taarifa nimeipata asubuhi hii kwan kuna jamaa alikuwa ana div 3 ndo katemwa karudishwa kwny system manem
Mkuu hiyo sio sababu hizo ni error za netwok mwambie aone kama wamemnyima KUEDIT kama wamemnyima ajue yupo selected ila kama wamempa futa machaguo bac imekula kwake
 
Hizo ni divisions za form 4 au 6?
Zitakua division za mwendo kasi hizo, maana hakuna kitu kama hicho na kama hukuchaguliwa matatizo ya kutochaguliwa yapo mengi nitaorodhesha hapa baadhi:-
1, kutokukidhi sifa katika course husika.
2,kukosea kujaza maombi yako
3,kushindwa kuweka namba sahihi ya kidato cha nne mfano:s0xxx/12/2014. Hii siyo sahihi, sahihi ni S0XXX/0012/2014
4, kuweka taarifa za uongo
 
Ukaguzi wa vyeti feki uwekewe mkazo zaid huku kwenye taasisi zetu za elimu, huenda kuna watumishi wasio na utumishi stahili...!!
 
ACHENI KUPOTOSHA WATU HAWAJAFUTA BWANA NAINGIA KWENYE PROFILE YANGU MBONA INAONYESHA BADO NIMECHAGULIWA NA SIRUHUSIWI KUEDIT WALA KUAPPLY UPYA??
Naweza kusema mtoa mada yupo sahihi kwa upande mmoja na hayupo sahihi kwa upande mwingine kwa sababu amekuwa too general. Mimi ninachokiona NACTE wamekifanya ni marekebisho kwenye system hasa upande wa code. Kulikuwa kuna baadhi ya watu ambao wameapply awamu ya pili walionekana wamechaguliwa batch 5. Sasa hiyo batch 5 sasa hivi haipo, ya mwisho ni batch 4.
 
dogo mm cyo wa diploma tuliza domo hlo
Mambo gani tena bwana mdogo hayo? Usikalili kijana sikila mtu humu ni mdogo kama ufikiliavyo lengo langu ilikua kukuelewesha na huko ulikofikia mie sina neno na wewe kikubwa jiheshimu kijana, hekima ni kitu mhimu katika jamii ilostaarabika.
 
Nilienda ofisi za nacte kanda ya ziwa,kuulza kuhusu mustakabali wa undergraduate uko vp, majibu yao yakawa hivi
Tuendelee kua na subira mpaka watakapo pata idhini ya kutoa majina kwani udahili ulikua uko tayari na majina wanayo wanasubr serikali (tcu)iwakubalie tu kuyatoa majina hayo ya udahili wa awali kuanzia mwz wa tatu hadi wa tano... Waombaji hao watolewe tu majina yao ,ukizingatia walikua nje ya tamko au agizo la serikali kua wa diploma /equivalent wawe na gpa ya 3.5
Ofisi za NACTE kanda ya ziwa zipo wapi?
 
Back
Top Bottom