Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
Asprin, umepotelea wapi?
Siku hizi waonekana kwa machale sana, kitochi chako kimekuwa cha kuanika juani?
Siku hizi waonekana kwa machale sana, kitochi chako kimekuwa cha kuanika juani?
Roho za marehemu, wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani. AMINA.
Mod atakayeiondoa hii post au member yoyote atakayeibeza bila kusema AMINA, Mungu na amuunganishe kwenye foleni ya walio karibu kufika langoni.
Nakusalimu MJ1, Kongosho, AshaDii na Teamo.
Last edited by a moderator:
