Nachanganyikiwa naomba msaada...........

Aksante Bwan Chuchu umenifungua sikio ndugu yangu mwe..... kumbe ninayo kazi ya ziada..... yale mafundisho na hisia za kiada inabidi nizichambue tena eh!!

Usiniambie ulikuwa hujui kuhusu hayo niliyoandika!

Licha ya hivyo, kama kweli nimekufungua masikio basi nafurahi kusikia hivyo.
 
Kama umemmiss na ukaona mende ni kisingizio rahisi, muite, tena hata kama ni sisimizi mwite, na mweleze you need a hug lol

siku zingine, mnunulie pensel ya sh. 100, mfuate kazini ukampe saplaiz ya zawadi, kuku wako mwenyewe, mchagulie kiblah unayotaka lol

si kakidhi vigezo bana, na raha akupa eeeh, fanya yaliyo ndani ya uwezo wako.

Dadaaa........... plz, kama ataka kuuona mgongo jamani haruhusiwi kuntoa jikoni? jamani hebu plz msinipangie namna ya kummiliki mwenzi wangu. Ni sawa na mie najihisi nimemmiss but yuko kwa jirani apiga story ndo nsimwite aje kuna mende chini ya uvungu?? pliz
 
Aksante sun wu............ nimelelewa hivyo, na mbaya zaidi kwa jinsi nimpendavyo najisikia tu kuwiwa kumuenzi kwa staili hiyo, iweje ghafla iwe rahisi kubadilika kisa mwenzi wangu haapreciate??!
Kubadilika sikushauri kabisa (never change your good qualities, sababu ya mwenza wako, jaribu kumwabia ndio ulivyofunzwa am sure atazoea tu.., na unayofanya ni mazuri am sure sio kero..), trust me its just considerate from his part.., I would have worried kama angeanza ku-take advantage ya heshima yako.

Just be yourself am sure soon or later atazoea na siku ukienda safari hayo unayomfanyia sasa ndio yatakayomfanya akumiss.., (am sure he appreciates a lot but he is just considerate.., I would do the same on his shoes, sipendi kumsumbua mtu) and don't tell me kwamba sometimes usumbuki (sababu kutokana na malezi maybe sometimes you feel obliged)., hata mimi nitafeel guilty kama nimechelewa kwa bahati mbaya umechoka unataka kulala kidogo ila unashindwa sababu unanisubiri
 
mwenzangu, ukianzisha jambo hakikisha unaliendeleza la sivyo utaonekana baadaye unamapungufu. Mf. halisi ni kuwa nilipooa kati ya miezi 2-5 baada ya ndoa nilikuwa natandika kitanda nikiwa wa mwisho kuamka na pia nilikuwa nafua nguo kumsaidia my wife, ghafla kwa kuamua nilianja kuacha kidogox2, eeeeh wife akaanza kununa na kuanza kujifungia chumbani nikagundua hiyo sababu.

Kwa nini uliacha? kama ulikuwa unafanya out of love si rahisi kuacha! Unless ulifika sehemu ukaona it wasnt worth of. Kuna rafiki yangu alikuwa so much against juu ya rafiki yetu ambaye alikuwa yu radhi kumfungulia mumewe hata saa kumi alfajiri anavyorudi, na ugali anamsongea! Mimi nilimwelewa kuwa kama unafanya out of love, hata akuudhije unajikuta unamtafutia sababu za kumsamehe wewe mwenyewe.

Heshima niizungumziayo hapa si ile ya kujifunza kwa kucrem na kisha kuitegesha la hasha, bali ni ile ambayo unajikula unatamani tu kuifanya kwa kuwa unampenda mwenzi wako..........mpaka pale atakapoiabuse!
 
sasa mwj1 hapa ipo sababu ya mim kutoa ufafanuz kwa mtizamo wangu juu ya hili la heshima na "woga" hasa kwa wapendanao.....!nitakoment kwa kirefu zaidi kesho...!

hao wanaofanya heshima hao...izo za kimuonekano wapo wanaofanya kwa kulinda tu mahusiano...infact wanfanya tu kama mazoea labda kwa kuangalia histrory/backgrounds za kabila la mupenziwe....makabila mengine wanaume wanapenda kuabudiwa sana..kwa iyo ni swala la mwanamke mwenye focus kupretend tu.....!ingawa ni mbaya sana...

ndan ya hili neno heshima kuta kitu kingine kikubwa zaidi ya hili la kupigiana magoti...!

nitakoment kesho...!kutumia sim ninapata shida kidogo kuandika..

Teamo nakubaliana sana wewe kuwa wengine hufanya heshima si kwaajili ya kuheshimu bali utakuta ana kitu nyuma yake. Lakini nikwambie wanaume wengi sana hata hawa unaowaona wako extreamly civilized wanapenda sana kuheshimiwa. Mfano kuna jamaa alikuwa akikaa na wenzie kwenye stori anaonyesha kutokujali swala la kupokewa mzigo au kuvuliwa viaut na mkewe au kusalimiwa kwa kupiga goti. Sasa huyu jamaa ni mtu wa kaskazini huko Arusha, siku moja akawa anafanya sherehe sasa akaita kikao cha maandalizi kwake jamani tulichokiona ni tofauti kabisa na alivyo huko mtaani. Nyumbani kwake tulikuta ni nyumba yenye heshima, iliyopitiliza, nikadhani ni kwa siku hiyo tu, lakini haikuwa hivyo karibu mara zote ninapotembelea pale nakuta mama ana mvua baba viatu, kwakweli nilishindwa kuvumilia nikamwambia shem mbona wewe haya huwa unasema ni unyonyaji? alichinijibu ni kwamba maisha ya ndani ni tofauti sana na haya ninayoishi ndani. zile ni stori tu basi nikamwambia unawalisha wenzio sumu.

nimekwambia haya kwakua wanaume wengi maisha mnayoish huko mtaani ni tofauti sana na ya ndani kwa hiyo asikudanganye mtu kati ya wawili kuna kitu kingine kabisa.

ila sasa kuna heshima za wizi na hizi ni rahisi sana kuzigundua. kama unaheshimiwa ili uibiwe utagundua tu kwani utaona haitoki moyoni na haiamshi hisia zako kwani huwa ni maigizo zaidi.
 
Hivi vitu haviendi black and white.... Kuna vitu katika situation zote ambazo zahitaji kusoma nyakati za alama (or is it alama za nyakati?); kama umeishi na mwenza wako kwa mda mrefu... hajawahi hata siku moja niita toka mbali (lets say nje or another room) kuja mchukulia kitu ambacho kipo karibu nae.... akifanya hivo kwa siku moja na hajawahi wala hana hio tabia, akanitoa jikoni kuja niomba remote kua nimpe... kwa kweli sitakwazika na nitampatia... na kumuuliza kama everything is alright or just tired.

Hivo MJ1 akikuita ili akuone... kuna utofauti wa uombaji.... na the way ata react ukishafika hapo. In other words uhakikishe mboga ina maji ya kutosha isije tu ikaungua.

Hhahahahha Dada nisamehe mwenzio nimelelewa na Bibi so am a bit wa karne loh but I think I do appreciate. Eh mf. Mbu aniite kizushi tu ah nkija ntakuwa niko tayari kwa lolote, na maji kwenye mboga ntakuwa nshajaza....kama hakuniitia hilo0 nyayachuja !
 
Teamo nakubaliana sana wewe kuwa wengine hufanya heshima si kwaajili ya kuheshimu bali utakuta ana kitu nyuma yake. Lakini nikwambie wanaume wengi sana hata hawa unaowaona wako extreamly civilized wanapenda sana kuheshimiwa. Mfano kuna jamaa alikuwa akikaa na wenzie kwenye stori anaonyesha kutokujali swala la kupokewa mzigo au kuvuliwa viaut na mkewe au kusalimiwa kwa kupiga goti. Sasa huyu jamaa ni mtu wa kaskazini huko Arusha, siku moja akawa anafanya sherehe sasa akaita kikao cha maandalizi kwake jamani tulichokiona ni tofauti kabisa na alivyo huko mtaani. Nyumbani kwake tulikuta ni nyumba yenye heshima, iliyopitiliza, nikadhani ni kwa siku hiyo tu, lakini haikuwa hivyo karibu mara zote ninapotembelea pale nakuta mama ana mvua baba viatu, kwakweli nilishindwa kuvumilia nikamwambia shem mbona wewe haya huwa unasema ni unyonyaji? alichinijibu ni kwamba maisha ya ndani ni tofauti sana na haya ninayoishi ndani. zile ni stori tu basi nikamwambia unawalisha wenzio sumu.

nimekwambia haya kwakua wanaume wengi maisha mnayoish huko mtaani ni tofauti sana na ya ndani kwa hiyo asikudanganye mtu kati ya wawili kuna kitu kingine kabisa.

ila sasa kuna heshima za wizi na hizi ni rahisi sana kuzigundua. kama unaheshimiwa ili uibiwe utagundua tu kwani utaona haitoki moyoni na haiamshi hisia zako kwani huwa ni maigizo zaidi.

Aksante gfsonwin..kwa kuongezea mie ninaye dadangu ambaye ana miaka #7 kwenye ndoa hadi leo yu ampokea mumewe, amvua viatu na koti na kumsinga na si kwamba mumewe ni msafi! kila kukicha ni skendo but dadangu yu mtu wa hivyo. Likimfika anabwatuka, analitoa kisa mwendo mdundo mpaka shemeji kakaa sawa!
 
Usiniambie ulikuwa hujui kuhusu hayo niliyoandika!

Licha ya hivyo, kama kweli nimekufungua masikio basi nafurahi kusikia hivyo.

Si kwamba nlikuwa sijui ila nlikuwa siamini kama nawezabadili imani yangu ile nlojiapiza kuwa ni sahihi, na nlofunzwa tangu enzi zile.......sas wewe ulivyokuja na ushauri wa nichanganye na zangu ndo umenifungua masikio ndugu yangu
 
unajua mwj1....mwanaume anaependa kubudiwa.....!(hakika kupigiwa magoti au kuvuliwa viatu na matendo yote ya kinyanyasaj yanayofanywa mbele ya jamii na hao wapenz Ni kuabudiwa ).....ni udhaifu mkubwa sana...!ukijaribu kuyatafakar matendo yote yasiyoyakawaida ynayofanywa na wapenzi mbele ya jamii...huwa yanatoa a hidden agenda ya hayo mahusiano....!mara zote huyafanya hayo ili kuficha uozo fulan...!mifano ipo....!

ni sawa na mtu anaemwita mkewe ...."we mke wangu"....!au "we mama watoto"....!tena mbele za watu...mi huwa nashangaa sana
 
Teamo hakuna sehemu nliosema kuwa hii ni demand from him!!..... tuichukulie kuwa hii ni kama vile wewe unavyoamini kuwa kumkunja hivi, au vile wifi unamfurahisha na kumfikisha kunako. Yaani yake maamuzi uyafanyayo wewe na kamati yako ya kichea, unaona ni sahihi kumfanyia mwenzi wako........hajademand yeye
 
Heshima nayo ni relative term...trust me. So fanya kitu ambacho kwenu wawili kitakuwa cha manufaa na siyo habari za kuchanganya na watu wengine. Ukiona yote hayafanyi kazi, tumia konyagi will give you extra energy that you require
 
Aksante gfsonwin..kwa kuongezea mie ninaye dadangu ambaye ana miaka #7 kwenye ndoa hadi leo yu ampokea mumewe, amvua viatu na koti na kumsinga na si kwamba mumewe ni msafi! kila kukicha ni skendo but dadangu yu mtu wa hivyo. Likimfika anabwatuka, analitoa kisa mwendo mdundo mpaka shemeji kakaa sawa!

Nakusihi sana usiangalie mazingira ila angalia wewe nafasi yako ni nini kwa wakati huo. Usiache hata siku moja kumuheshimu mumeo. Mume gharama atiii kama huamini muulize asiye naye halafu anatamani kuwa naye.
 
kwa mlengo huo mwj1....!mim teamo nacema iviii.....!heshima za kiswahili ambazo ni kama hazina ground kwangu hazina nafas....na mrs teamo analijua hilo....!

tunaheshimiana sana ni kweli....lakin si level ya kunivua koti...au asile mpaka nirudi...asilale mpaka nirudi.....!aniamkie shikamoo....!hapana aisee....!the moment anaanza matukio hayo ni pale pale anapaswa kujieleza ni kitu gan anjaribu kunificha...praktikale kwa watu mnaoish pamoja for more than three yrs hawawez kuintatein uboifriend/gelofrend.....!

i mean mnaheshimiana sana tu kwenye ndoa lakin si kiivo....!huo ni uzushi mkuu....!na mara zote huwa kuna tatizo behind it....!

yupo cista angu kabisa anapenda sana kuonyesha anampenda mumewe kwenye faceboook....!mara my hubby....mara nakupenda sana....mara ivi mara vile....nimegundua recently kuwa mumewe ni infidelator wa kutupwa...na anamfumania pia....!i came to understand anaonyesha mapenzi publicly in a sense of covering things up....!labda kuficha aibu....au kumthibitishia mumewe kwamba she still loves him.....!

mwj1 haya mambo hayawez tokea pasi na sababu....

L
 
Sawa kwa hili ninakuelewa Teamo. Najaribu tu kuwaza what if kwenye hiyo definition ya heshima kwangu, kukuvua koti au kukupokea zawadi ni sehemu ya definition hiyo? Mie nimetoa mfano huo wa koti, goti n.kkwa mfano tu...........the bottom line ni heshima ambayo iko genuine, kutokana na malezi. Sasa inapokuja kwa mtu kama wewe kuwa huintertain hayo mambo ni sawa na kumtaka Mrs Teamo aishi maisha ya pretendance!! Tuseme yeye kalelewa kihivyo afu we unamwambia kuwa huamini mambo hayo, heshima za hivyo we unahisi ni za kinafiki huoni kama unamkosea kiaina?? sisemi haiwezekani but mwanzoni atapata shida kukubaliana na wewe
 
Mi sisemi mengi,ila ninachotaka kusema ni kwamba kwenye uhusiano ni kama kwenye timu ya mpira wa miguu,kila mchezaji akicheza nafasi yake inavyotakiwa timu itashinda tu!Na kwenye uhusiano hivyo hivyo,majukumu ya mwanaume ni tofauti na ya mwanamke.Heshima anayotoa mwanamke ni tofauti na heshima ya mwanamke,mwanamke amheshimu mumewe kike na mwanaume amheshimu mke kiume!
 
Wapendwa
Ninawapenda, naomba mnisaidie............ Ni nini nafasi ya 'heshima' ndani ya mapenzi.

Samahanini ninauliza hivi kwa sababu nimejikuta kwenye dilema. Wote mpenzi wangu pamoja na marafiki zangu wengi wamekuwa wakipinga ile dhana ya 'heshima' kwa mpenzi wangu. Ninajaribu kuwaelewa ila naona kama nazidi kuchanganyikiwa.

Inakuwaje kwa mwanamke anayeamini kwenye 'kuonyesha heshima' kwa mpenzi wake as one of the vionjo vya mapenzi ambavyo vinamfanya yeye ajisikie vema ilhal mpenzi wake au marafiki zake wanaona 'haina maana'? Mf. Mie nikiamini kuwa kumheshimu mpenzi wangu kwa kupiga goti (kama malezi yangu yalinifunza hivyo), akiingia kumpokea na hata kumvua koti, ha hata viatu na vijipole vya hapa na pale...........

I wapi nafasi ya 'heshima' kama hii kwa mwenzi wako? Je tunaitafsirije hii ndani ya era ya usawa na gender equality?

Natanguliza samahani kama nimekosea , nieleweni tu mwenzenu mie wa 1947.

Pole MJ1,

Samahani sana dada, ukinifanyia hayo yote na mengine yanayofanana nayo, naamini nitakuchukia maisha yangu yote hata kama sitaomba talaka!!

Babu DC!!
 
Aksante sun wu......umenipa relief............. but nakwazika sometimea ambapo muhusika anaponipinga kuwa haoni umuhimu......bahati mbaya am too conservative in terms of abidding to the traditional rules yaani mie aje nimpokee, nimwekee maji ya kuoga, nimuenzi e.t.c But yeye anapoona namtukuza sana na hapendi nafanyaje?
MwanajamiiOne

Ngoja nikuhakikishie, inawezekana hakukulia mazingira hayo.

Lakini, usidhani kwamba hafurahii, anafurahia sana, tena sana tu. Ila kama hataki kuonesha umembamba.

Hujawahi kumwambia mwanamme uiyenaye kwenye mahusiano 'nakupenda' akawa kama hajali.
Siku ukiacha kumwambia anaanza kulalamika, umepunguza upendo, huniambii tena unanipenda.
Wakati ulipokuwa unamwambia hakuoensha anajali.

Wanamme wanatabia moja, ukiwapa kitu wanakuwa kama hawakitaki, ukikiondoa wanakililiaje?

Ndo wako hivyo.

usimdanganye bana,....wengine hatujakulia kwenye mazingira ya kuabudiwa, au kufanywa "mfalme" wa nyumba!
Tena naboreka kweli kufanywa mtoto mdogo nisejua kuvua soksi...:mad2:
Maji ya kukoga, kuwekewa chakula mezani, nk sawa...lakini sio mwanaume kunyenyekewa, khaa?!
No way bana...
 
kwa mlengo huo mwj1....!mim teamo nacema iviii.....!heshima za kiswahili ambazo ni kama hazina ground kwangu hazina nafas....na mrs teamo analijua hilo....!

tunaheshimiana sana ni kweli....lakin si level ya kunivua koti...au asile mpaka nirudi...asilale mpaka nirudi.....!aniamkie shikamoo....!hapana aisee....!the moment anaanza matukio hayo ni pale pale anapaswa kujieleza ni kitu gan anjaribu kunificha...praktikale kwa watu mnaoish pamoja for more than three yrs hawawez kuintatein uboifriend/gelofrend.....!

i mean mnaheshimiana sana tu kwenye ndoa lakin si kiivo....!huo ni uzushi mkuu....!na mara zote huwa kuna tatizo behind it....!

Mkuu your faith in humanity leaves a lot to be desired..., mkuu kutokupenda kwako kufanyiwa kitu au mtu kumfanyia haya mambo mwingine does not mean kuna hidden agenda, wengine they like to do things for each other.., wao kuwa karibu na mwingine ndio kuonyesha care

yupo cista angu kabisa anapenda sana kuonyesha anampenda mumewe kwenye faceboook....!mara my hubby....mara nakupenda sana....mara ivi mara vile....nimegundua recently kuwa mumewe ni infidelator wa kutupwa...na anamfumania pia....!i came to understand anaonyesha mapenzi publicly in a sense of covering things up....!labda kuficha aibu....au kumthibitishia mumewe kwamba she still loves him.....!

mwj1 haya mambo hayawez tokea pasi na sababu....
Mkuu ukitoa mfano mmoja wa sista wako na mimi naweza kutoa mifano kama kumi.., haya mambo inabidi every case to be judged according to its own facts.., huwezi ukachukua facts za Mwajuma sababu alifanya hivi kuficha vile ukasema hata Halima na yeye akifanya hivi anakuwa anaficha kile kile...

Hapa cha maana wapenzi ni kuchukuliana kama walivyo, kama mazoea ya mmoja ni kumpenda kumfanyia mtu kitu (hivyo ndio anaonyesha caring, fair play to him/her) na kama wewe ni mwanaume na mwenza wako anapenda kukufanyia mambo usitake advantange ya yeye kufanya hivyo, jaribu sometimes kumwambia apumzike au mwambie kwa upole don't worry have got this.., na kama huwa anakusubiri mle wote chakula ukichelewa mpigie simu kwamba leo tachelewa endelea kula au lala usisumbuke.., na kwa mama kama akichelewa usimsubiri sana sababu unaweza ukamfanya ajifeel guilty kwamba anakusumbua..

In short hakuna msahafu au formula, watu wapo tofauti, ila kusaidiana is the name of the game, mwingine kumpokea partner wake na kumvua koti is the way of being romantic.

By the way sijawahi kusikia mtu anampa talaka mpenzi wake au kumchukia sababu ya kumfanyia vitu... KUMBUKA there is a difference ya mpenzi wako ku-act kama mama yako na ku-act kama mpenzi wako his right arm, someone he can rarely do without
 
Roho za marehemu, wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani. AMINA.

Mod atakayeiondoa hii post au member yoyote atakayeibeza bila kusema AMINA, Mungu na amuunganishe kwenye foleni ya walio karibu kufika langoni.

Nakusalimu MJ1, Kongosho, AshaDii na Teamo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom