Nimeunganisha dots nimekuelewa kwanini hutaki tena.will miss u too stay blessed.
Wewe subiri kidoncho!
unakumbuka na wewe uliaga sababu ya kibabu? lol
ngoja Nyani Ngabu aje akuoneshe jinsi kibabu kilivyokukimbiza jf lol
asante kuniambia ukweli nimekupunguzia uzito wa pakacha kwa kuondoka.[/
Anatania tu huyo!yaani ungejua hata usingeaga mana hii innaleta huzuni sana lakini kama nimeelewa ivi ukishusha engine utarudi! bwana dont goooooo is too soon!
nakutafuta sana....mwe!
sasa ujue umeniumiza na popote ulipo ujue ntakumiss sana !
wewe unaishia na pacha SnowBall nae siku hiz hayupo!
uuuuwi!nawamiss jamani!
nafanyaje sasa!
so sad nimejua the day hautaingia tena humu,sio hata hutaweza kunijibu nikapata nafuu!
dah!
I WILL MISS YOU my wii!
MNO!
Mwajuma alikuwa anatafuta kiki huyo. Si unaona mwenyewe karudi. Wanaoondoka kweli hawaagi na wanaoaga wala hawaondoki!
Jamanai usilie ukilia nami ntalia pia, I can feel the sorrow of saying good bye but imenibidi niende. Its better nimeaga kuliko ninge dis appear. Mbaki salama wote ntawamiss mnooo.
ajauleje tuuNjauleje; nambi tujileuli?
NOP I wont come back hata kwa njia ya guest coz ntajitia majaribuni tuu. Hata mie ntawakosa members wote.