I Salute all MMU members,
Hope ur all good katika shuhuli za kutafuta shekeli, wagonjwa poleni na get well soon.
he time has come for sakapal to say good bye to the people who have been my fans and company whenever and wherever I was bored or lonely. Kabla sijajiunga JF nilikuwa na-peruse kwenye majamvi ya jokes, mmu na photos na kilichonishawishi nijiunge ni kutaka kuchangia mada mablimbali kwani ukiwa guest huwezi kuchangia.
Since the day nimejiunga JF MMU imekuwa kama ndo sebuleni kwangu kila nikifika home ikifuatiwa na jukwaa la picha na utani, pia JF imekuwa breakfast na lunch yangu nikiwa ofisini. Kuna watu ambao ningependa niwaage ambao pia walihusika nna maisha yangu humu jamvini. Kwenye jokes aliyenifanya nikawa siichi kuingia jukwaa hilo ni Excellent huyu jokes zake ziliniacha hoii. Baada ya kujoin nikafahamiana na The Boss huyu alinishauri vitu vingi sana hasa kipindi kile nilikuwa nareport stree za hubby na kwenye surprise ya hubby. Mtu mwingine ambae nisingependa kuondoka bila kumtaja ni Kiranga huyu alinigombeza, aliniwakia kwenye thread moja nilianzisha hadi nikaogopa in real life. Nilishangaa alipata wapi guts za kunikaripia ilhali hanijui na mie nilikuwa natania kwenye issue aliyogomba. Kiranga ndo alisababisha nikafahamiana kwa ukaribu na SnowBall kwani alinitetea utadhani tulikuwa tunajuana, walimwagiana kimombo hapo hadi basi. Kupitia SnowBall nilifahamiana na wifi yangu snowhite hawa ni mapacha huyu tulikuwa fresh na uwifi wetu ulikuwa hauna matatizo full uzungu.
Baada ya muda kupita nilikuja kukumbana na EMT huyu nae walinishikia bango yeye na wifi yangu kwenye thread moja hivi, KIKUNGU huyu ni mnyamwezi mwenzangu pamoja na kuwa kuna wanyamwezi wengi huyu tunatoka kijiji kimoja BAK anawakilisha mateja wenzangu wale mateja wa mapenzi kila nikiomba wimbo hana uchoyo ananiwekea basi raha burudani, u r a good friend BAK thanks very much pls receive my appreciation.
Last but not least ni bange mtu Mentor huyu namuaga nikiwa bado nina kisirani naye cha kuniita mie daladala ya mwananyamala yaani sisahau hili hata huko nitakako kuwa.
Kisa cha kuwaaga ni kuwa sasa nitakuwa chini ya uangalizi wa FBI as ninakiumbe cha Obama na siruhusiwi kuingia tena mitandaoni utill futher notice so nikaomba ruhusa walau niage kwa jamaa zangu humu MMU I love u all!!!.
Members wengine woote wa MMU u played ur role in my life here, tumecheka wote, tumehuzunika wote, tumepeana pole, tumegombana na kurushiana maneno ya vijembe, tumeshauriana na kupeana maneno ya pumba hata pasipo stahili yote ilikuwa sehemu ya maisha yetu. Kwa wale mliobahatika kuonana na sakapal hongereni and be good if God wishes naweza rudi nikiruhusiwa baada ya kushusha engine, otherwise I take this chance to say GOOD-BYEE MMU MEMBERS!!
Pale nilipowakosea na kuwakwaza mnisamehe bure.
Never again,
sakapal.