Nabwaga manyanga, am leaving for good!!

Nabwaga manyanga, am leaving for good!!

sakapal we sepa nilikua sikupend kichiz
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo unabadili id?

Hapana katika michezo ambayo siipendi ni hiyo ya kuwa na multiple IDs tangu nijiunge humu April 2011 sikuwahi kuwa na ID nyingine, sihitaji ID mpya as am leaving for good, will no longer be here from tomorrow.
 
Gracias Amigo , please dont Go i will let you kiss my Brother sakapal .

tuache utani mbona ,mimi hujaniaga au rafiki mpya hana utamu?
 
Last edited by a moderator:
ai wewee..... all the best
dedication: soledad..westlife

Thanks my dear, umenikumbusha mbaali wakati niko form five those days nilikuwa napenda sana nyimbo za west life. For the last time nimuombe teja mwenzangu BAK aniwekee huo wimbo wa soledad by westlife. Ntawamisije MMU..................!!!
 
Last edited by a moderator:
Gracias Amigo , please dont Go i will let you kiss my Brother sakapal .

tuache utani mbona ,mimi hujaniaga au rafiki mpya hana utamu?

Thanks Amigo,
I have to go imenibidi my friend. You'll let me kiss who? who is ur father?
u r my friend asakuta na I just mention a few, u r among other and I remember u best friend.
Thanks for caring by the way.
 
mmmmmh! are you real serious?

the only reason ni kuwa kunakiumbe kinategemewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom