Nabii na chupi za upako kwenye wenye matatizo ya kimahusiano na nguvu za uzazi

Jana nilimsindikiza shostisto wangu kwa nabii. Kilichompeleka yeye ni shida na changamoto za mahusiano yake.
Mume mlevi, mume Malaya Kama mbwa, mume bahili, hajali ndoa Wala familia. Hajali ndugu zake Wala wa mkewe. Mume mgumu Kama ndevu za gaidi wa Mkuranga.
Rafiki yangu huyu aliniomba niandamane naye kwa nabii ili aniangalizie Mambo yangu, kwani tangu kipindi Cha Corona Biashara zangu zimeyumba Sana na hata shamba langu la nyoka ambalo ndilo lilikuwa likiniingizia fedha za kigeni Sasa najihisi kana kwamba linaweza kunishinda kabisa ku operate.
Sasa kila mtu aliingia kwa awamu yake chumbani kwa nabii. Mimi ndiye niliyeanza na Kisha mwenzangu akafuatia.
Nabii alikuwa mchangafu akanitia moyo kuwa hata kampuni kubwa Ulaya zimeanguka, nijipe Moto nitainuka Tena.
Akaniombea nikatoka, akaingia mwenzangu. Mwenzangu huko ndani alikaa zaidi ya saa moja, akatoka nje akaniuliza una laki moja happy unipe ntakurejeshea nyumbani? Nikamjibu cash Nina 75'000/ akasema nipe hizohizo, na Kama unayo balance kwenye simu rusha kwa namba hiii ya nabii. Nikamrushia.
Rafiki akaingia ndani ambako Sasa alikaa Kama dakika Saba Kisha akatoka nje.
Safari ya kuelekea kwenye gari ikaanza, ndipo akaanza kunipa mchapo.
Nabii anatoa chupi za upako ambazo zinasaidia Kama mume hatulii, una ugumba etc. Chupi ni za Holland Wax na unaweza jipatia kwa kadiri utakavyo.
Bei ya kila moja ni laki unusu.
Endeleeni na chupi zenu za upako mi ntapambana na maombi nikilitumia jina la Yeah na damu yake ya thamani na kuoga kwa chumvi ya mawe Kama alivyofundisha Mshana Jr.
Hapo mwishoni ulipoandika jina la Yeah naamini ulitaka kuandika Yesu,edit.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutasikia mengi ndio Mana nimechagua uislam ndio dini yangu
 
weka picha ya chupi ya upako
Hyo hapo
JamiiForums288328970_640x640.jpg
 
uliza wakubwa wakwambie
Kitu ambacho huwezi kuthibitisha kinaitwa ni porojo.Hizo ni porojo tu.Wazungu wanasonga mbele sisi tunabakia nyuma kuamini vitu ambavyo havipo.

Hii ndiyo tofauti kati ya mzungu na limtu jeusi.Limtu jeusi linaamini katika damu ya Yesu lakini likipata ajali linamkana Yesu na linawahi hospitalini kwenda kufanya xray ambayo ni zao la akili.Limtu jeusi ni mbumbumbu.
 
sasa yesu ameingiaje hapo kwenye porojo zetu mkubwaa?
 
Kwani huu uzi unahusu nini?!Huu uzi si unahusu manabii?Sasa unawezaje kutenganisha manabii/unabii na Yesu?!Anyway,mimi simpingi tu Yesu wa kikristo ila napinga dini zote kwa ujumla wake kuwa ni porojo tu wala hazina msaada wowote.
 
Back
Top Bottom