Nabii Frank Kilawah acha kudanganya watu

Huyu nabii juzi kafanya kitu ambacho kimenishtua sana kwenye kipindi chake, katokea mtu anadai ni kipofu kaja na mama yake mzazi, yule mama kaulizwa kadai huyo mtoto wake kazaliwa hana macho kabisa, kabla hajamuombea kamera zilikuwa zinamuonyesha yule kijana akiwa amefumba macho, na ukimwangalia yule kijana alikuwa kama anainama chini muda mwingi.

kuinamisha kichwa chini ni hulka ya binadamu inayoambatana na kuona aibu. Basi nabii akasema huyu mtu tokea kuzaliwa hajawahi kuwa na macho, sasa mungu akimrudishia hata jicho moja si itakuwa safi, basi akachukua maji ya chupa na kummwagia huku akiweka mikono yake kwenye yale macho, eti yule jamaa akafungua jicho moja linaona.

Cha ajabu eti yule kipofu ambaye hajawahi kuona tokea kuzaliwa akapata jicho moja na ye akawa katulia tu kama hamna kilichotokea, yaani fresh tu. Mtu ambaye hajawahi kuona tokea amezaliwa hawezi kuwa vile akiona.

Halafu huu usanii anaofanya nabii anashirikisha hadi wamama watu wazima kuongea uongo mbele ya kadamnasi. Toka lini mungu akamponya mtu nusu kwa kumrudishia jicho moja? Ningekuwepo siku hiyo haki ya mungu ningeomba urudie kuomba ili jicho la pili nalo lirudi.

USHAURI: Katika miujiza ambayo haina longolongo ni upofu, namshauri huyo nabii asiigize tena kuponya mtu kipofu maana kuna siku itamtokea puani. kuna watu kama sisi tukiwa eneo la tukio tutataka tuhakikishe kama huyo kipofu kweli ni kipofu kabla hujamuombea halafu tutakuumbua.

Yeye aendelee na miujiza iliyozoeleka ambayo hatuwezi kuthibitisha kama sijui nilikuwa naumwa ukimwi, tumbo, nilikuwa sizai,mapepo, kichwa kuuma, kutokwa na damu, BP n.k ila asicheze kabisa na kumponya kipofu ambaye hana macho, huo muujiza hata yesu ukimwambia arudie te na hawezi.
Tangu ulipoanzisha bandiko lako tumekwenda pamoja, conclusion yako ndo umechemka mbaya na ime-ruin credibility yote ya bandiko lako ovu. Nikukumbushe kama umesahau, au nikufahamishe kama hujui...YESU NI YEYE YULE JANA, LEO NA HATA MILELE. Kama alifufua wafu Jana, atafufua wafu leo na atafufua wafu kesho. Kama aliponya Kipofu, anaponya hata sasa na ataponya hata baada ya miaka 500.

Uwe na adabu unapotema pumba zako kwa kumshirikisha YESU
 
Mungu anisamehe sijui kwanini hawa mitume na manabii wengi siwaamini, juzi kuna mmoja kaagiza waumini wake waende na kufuli na ufunguo
Kabla ya kuwaamini imani yako weka kwa Yesu kupitia neno (Bibilia) hakuna siri na ndani yako akiwemo Roho Mtakatifu yaani huwezi kuyumbishwa maana huyo ni kiongozi wa kweli!!!
 
Hapana usiseme hivo....kuna shehe alitoa tangazo chanel 10 kuwa anaponya na kutoa pepo kwa watoto wakike na akina mama...aliita wote waende kuombewa..tangazo lilikuwa kwa style ya wachungaji....
Anajiita Sheikh Sharif MAJINI[emoji134]
 
Huyu nabii juzi kafanya kitu ambacho kimenishtua sana kwenye kipindi chake, katokea mtu anadai ni kipofu kaja na mama yake mzazi, yule mama kaulizwa kadai huyo mtoto wake kazaliwa hana macho kabisa, kabla hajamuombea kamera zilikuwa zinamuonyesha yule kijana akiwa amefumba macho, na ukimwangalia yule kijana alikuwa kama anainama chini muda mwingi.

kuinamisha kichwa chini ni hulka ya binadamu inayoambatana na kuona aibu. Basi nabii akasema huyu mtu tokea kuzaliwa hajawahi kuwa na macho, sasa mungu akimrudishia hata jicho moja si itakuwa safi, basi akachukua maji ya chupa na kummwagia huku akiweka mikono yake kwenye yale macho, eti yule jamaa akafungua jicho moja linaona.

Cha ajabu eti yule kipofu ambaye hajawahi kuona tokea kuzaliwa akapata jicho moja na ye akawa katulia tu kama hamna kilichotokea, yaani fresh tu. Mtu ambaye hajawahi kuona tokea amezaliwa hawezi kuwa vile akiona.

Halafu huu usanii anaofanya nabii anashirikisha hadi wamama watu wazima kuongea uongo mbele ya kadamnasi. Toka lini mungu akamponya mtu nusu kwa kumrudishia jicho moja? Ningekuwepo siku hiyo haki ya mungu ningeomba urudie kuomba ili jicho la pili nalo lirudi.

USHAURI: Katika miujiza ambayo haina longolongo ni upofu, namshauri huyo nabii asiigize tena kuponya mtu kipofu maana kuna siku itamtokea puani. kuna watu kama sisi tukiwa eneo la tukio tutataka tuhakikishe kama huyo kipofu kweli ni kipofu kabla hujamuombea halafu tutakuumbua.

Yeye aendelee na miujiza iliyozoeleka ambayo hatuwezi kuthibitisha kama sijui nilikuwa naumwa ukimwi, tumbo, nilikuwa sizai,mapepo, kichwa kuuma, kutokwa na damu, BP n.k ila asicheze kabisa na kumponya kipofu ambaye hana macho, huo muujiza hata yesu ukimwambia arudie te na hawezi.
Mkuu jifunze kuandika Mungu "M" kwa herufi kubwa isije kuwa unaongelea miungu
 
mungu = Mungu

yesu = Yesu

Hapo mwishoni naomba urudie tena, sijasikia vizuri. Eti, Yesu hawezi kufanya nini?

Unamjua Yesu wewe?!

Anyways, alishakusamehe hata kabla hujazaliwa.

Wewe ndio unamjua?Alishaongea na wewe,lini?Lete evidence hapa
 
Tangu ulipoanzisha bandiko lako tumekwenda pamoja, conclusion yako ndo umechemka mbaya na ime-ruin credibility yote ya bandiko lako ovu. Nikukumbushe kama umesahau, au nikufahamishe kama hujui...YESU NI YEYE YULE JANA, LEO NA HATA MILELE. Kama alifufua wafu Jana, atafufua wafu leo na atafufua wafu kesho. Kama aliponya Kipofu, anaponya hata sasa na ataponya hata baada ya miaka 500.

Uwe na adabu unapotema pumba zako kwa kumshirikisha YESU

Mnapotishia watu watoe adabu kwa vitu vya kufikirika wakati wewe mwenyewe huna adabu hata kwa wazazi wako unaowaona kila siku ni unafiki wa hali ya juu..

Na huyu yesu if at all he exists,kakuomba umtetee?Ana uwezo wote,kiumbe dhaifu kama mwanadamu huna msaada wowote kwake...

Na pia tuache kutisha watu kwa imani zenu binafsi
 
MNAKOELEKEA VIJANA NI KUBAYA KUKASHIFU UWEZO WA MUNGU KAMA ULIVYOMALIZIA HII NI HAYAR SANA.
 
Dah poleni sana makanisani kwenu, sisi hakuna ujinga kama huu, Kwanza tungemtandika bakora Kuanzia Nabii mwenyewe mpaka mgonjwa na mama yake pia
Hahaha umenifanya nicheke kama mwehu juzi niliandika bandiko fb kuwakataza wasinitag kwenye makanisa NA mambo yao ya kiduwanzi unakuta mtu anaanza kukuhubiria inbox NA kukukaribisha kanisani kwao mchewwwwwww
 
Huyu nabii juzi kafanya kitu ambacho kimenishtua sana kwenye kipindi chake, katokea mtu anadai ni kipofu kaja na mama yake mzazi, yule mama kaulizwa kadai huyo mtoto wake kazaliwa hana macho kabisa, kabla hajamuombea kamera zilikuwa zinamuonyesha yule kijana akiwa amefumba macho, na ukimwangalia yule kijana alikuwa kama anainama chini muda mwingi.

kuinamisha kichwa chini ni hulka ya binadamu inayoambatana na kuona aibu. Basi nabii akasema huyu mtu tokea kuzaliwa hajawahi kuwa na macho, sasa mungu akimrudishia hata jicho moja si itakuwa safi, basi akachukua maji ya chupa na kummwagia huku akiweka mikono yake kwenye yale macho, eti yule jamaa akafungua jicho moja linaona.

Cha ajabu eti yule kipofu ambaye hajawahi kuona tokea kuzaliwa akapata jicho moja na ye akawa katulia tu kama hamna kilichotokea, yaani fresh tu. Mtu ambaye hajawahi kuona tokea amezaliwa hawezi kuwa vile akiona.

Halafu huu usanii anaofanya nabii anashirikisha hadi wamama watu wazima kuongea uongo mbele ya kadamnasi. Toka lini mungu akamponya mtu nusu kwa kumrudishia jicho moja? Ningekuwepo siku hiyo haki ya mungu ningeomba urudie kuomba ili jicho la pili nalo lirudi.

USHAURI: Katika miujiza ambayo haina longolongo ni upofu, namshauri huyo nabii asiigize tena kuponya mtu kipofu maana kuna siku itamtokea puani. kuna watu kama sisi tukiwa eneo la tukio tutataka tuhakikishe kama huyo kipofu kweli ni kipofu kabla hujamuombea halafu tutakuumbua.

Yeye aendelee na miujiza iliyozoeleka ambayo hatuwezi kuthibitisha kama sijui nilikuwa naumwa ukimwi, tumbo, nilikuwa sizai,mapepo, kichwa kuuma, kutokwa na damu, BP n.k ila asicheze kabisa na kumponya kipofu ambaye hana macho, huo muujiza hata yesu ukimwambia arudie te na hawezi.
Mungu anamuona,,,
 
Pengine ulichokisema kilikuwa ni kweli...ila hapo mwishoni Yesu umemkosea sana.....anyway Mungu ndo atajua akufanye nini>.
 
Back
Top Bottom