Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,554
- 8,253
Mengine umeandika vizuri, lakini umenichefua sana kwenye kuitimisha eti hata Yesu miujiza aliyotenda ukimwambia arudie leo hawezi!!
Huyo hata kurudi kwa Yesu haamini!
Mengine umeandika vizuri, lakini umenichefua sana kwenye kuitimisha eti hata Yesu miujiza aliyotenda ukimwambia arudie leo hawezi!!
Hata hawa manabii wameanzisha "makanisa" yao. Wao ndiyo kila kitu, ujenzi wa makanisa, kukusanya sadaka, watunza fedha. Hawa ni semi omnipotent.Hayo anaweza kufanyia nyumbani kwake tu Lakini sio msikitini
Hayo anaweza kufanyia nyumbani kwake tu Lakini sio msikitini
hebu taja nabii mmoja wa ukweliKuhusu uponyaji isikupe shida Yesu aliponya sana ukisoma mathayo 15:29-31, utajionea!!! Na manabii wa uongo wapo na wakweli pia wapo!!!!
Hayupo....hebu taja nabii mmoja wa ukweli
Hata nikikupa USHUHUDA hutaniamini, kwa sababu ushaitune mind set yako kutokuamini.
Ni maombi yangu nawe Umjue!
Ukiona nabii kaweka mbele mambo ya miugiza na kusahau kuhubiri injili kimbia huyo ni muongo.Huyu nabii juzi kafanya kitu ambacho kimenishtua sana kwenye kipindi chake, katokea mtu anadai ni kipofu kaja na mama yake mzazi, yule mama kaulizwa kadai huyo mtoto wake kazaliwa hana macho kabisa, kabla hajamuombea kamera zilikuwa zinamuonyesha yule kijana akiwa amefumba macho, na ukimwangalia yule kijana alikuwa kama anainama chini muda mwingi.
kuinamisha kichwa chini ni hulka ya binadamu inayoambatana na kuona aibu. Basi nabii akasema huyu mtu tokea kuzaliwa hajawahi kuwa na macho, sasa mungu akimrudishia hata jicho moja si itakuwa safi, basi akachukua maji ya chupa na kummwagia huku akiweka mikono yake kwenye yale macho, eti yule jamaa akafungua jicho moja linaona.
Cha ajabu eti yule kipofu ambaye hajawahi kuona tokea kuzaliwa akapata jicho moja na ye akawa katulia tu kama hamna kilichotokea, yaani fresh tu. Mtu ambaye hajawahi kuona tokea amezaliwa hawezi kuwa vile akiona.
Halafu huu usanii anaofanya nabii anashirikisha hadi wamama watu wazima kuongea uongo mbele ya kadamnasi. Toka lini mungu akamponya mtu nusu kwa kumrudishia jicho moja? Ningekuwepo siku hiyo haki ya mungu ningeomba urudie kuomba ili jicho la pili nalo lirudi.
USHAURI: Katika miujiza ambayo haina longolongo ni upofu, namshauri huyo nabii asiigize tena kuponya mtu kipofu maana kuna siku itamtokea puani. kuna watu kama sisi tukiwa eneo la tukio tutataka tuhakikishe kama huyo kipofu kweli ni kipofu kabla hujamuombea halafu tutakuumbua.
Yeye aendelee na miujiza iliyozoeleka ambayo hatuwezi kuthibitisha kama sijui nilikuwa naumwa ukimwi, tumbo, nilikuwa sizai,mapepo, kichwa kuuma, kutokwa na damu, BP n.k ila asicheze kabisa na kumponya kipofu ambaye hana macho, huo muujiza hata yesu ukimwambia arudie te na hawezi.
yaweza kuwa lugha gongana, huenda alitaka kusema "IAM YOUR MESSENGER OF GOD"I AM YOUR GOD alafu majamaa fulani yanakoment Amen.