Nabii Frank Kilawah acha kudanganya watu

Hivi watu huwa wanafuata nini kwenye hiyo mikutano ya wachumia tumbo?
 
Aisee. Umeanza vema kabisaa ila mwisho uneharibu mbaya kwamba muujiza wa kumpa kipofu kuona Bwana Yesu aliweza mara moja tu na sasa hawezj umechemka sana aisee. Yesu mpaka sasa anaponya kama uamini endelea hivyo hivyo. Mtumishi wa kweli utamjua tu kupitia mafundisho yake ila miujiza sio kipimo cha utumishi kwani inawezekana mtu kuigiza. Hizi ni siku za mwisho aisee. Leo fb nimeona tangazo la nabii mmoja kaweka picha yake kisha kuna maneno yaliyo andikwa kiingeneza kwa capital letters I AM YOUR GOD alafu majamaa fulani yanakoment Amen.

Hakuna kitu kama ikooo
 
FB_20160902_09_50_57_Saved_Picture.jpg
 
Dini inayohuhiri mapepo na uchawi kila kukicha
 
Huyu nabii juzi kafanya kitu ambacho kimenishtua sana kwenye kipindi chake, katokea mtu anadai ni kipofu kaja na mama yake mzazi, yule mama kaulizwa kadai huyo mtoto wake kazaliwa hana macho kabisa, kabla hajamuombea kamera zilikuwa zinamuonyesha yule kijana akiwa amefumba macho, na ukimwangalia yule kijana alikuwa kama anainama chini muda mwingi.

kuinamisha kichwa chini ni hulka ya binadamu inayoambatana na kuona aibu. Basi nabii akasema huyu mtu tokea kuzaliwa hajawahi kuwa na macho, sasa mungu akimrudishia hata jicho moja si itakuwa safi, basi akachukua maji ya chupa na kummwagia huku akiweka mikono yake kwenye yale macho, eti yule jamaa akafungua jicho moja linaona.

Cha ajabu eti yule kipofu ambaye hajawahi kuona tokea kuzaliwa akapata jicho moja na ye akawa katulia tu kama hamna kilichotokea, yaani fresh tu. Mtu ambaye hajawahi kuona tokea amezaliwa hawezi kuwa vile akiona.

Halafu huu usanii anaofanya nabii anashirikisha hadi wamama watu wazima kuongea uongo mbele ya kadamnasi. Toka lini mungu akamponya mtu nusu kwa kumrudishia jicho moja? Ningekuwepo siku hiyo haki ya mungu ningeomba urudie kuomba ili jicho la pili nalo lirudi.

USHAURI: Katika miujiza ambayo haina longolongo ni upofu, namshauri huyo nabii asiigize tena kuponya mtu kipofu maana kuna siku itamtokea puani. kuna watu kama sisi tukiwa eneo la tukio tutataka tuhakikishe kama huyo kipofu kweli ni kipofu kabla hujamuombea halafu tutakuumbua.

Yeye aendelee na miujiza iliyozoeleka ambayo hatuwezi kuthibitisha kama sijui nilikuwa naumwa ukimwi, tumbo, nilikuwa sizai,mapepo, kichwa kuuma, kutokwa na damu, BP n.k ila asicheze kabisa na kumponya kipofu ambaye hana macho, huo muujiza hata yesu ukimwambia arudie te na hawezi.
Asa hivi tuagonga Mkwanja thru dini maana watu wamekuwa wagum sana kutoa Sadaka
 
kamradi kanashika kasi halafu mnataka kumuaribia.... acha apige hela za wajinga, vichwa vigumu kuelewa, hawashauriki, lijitu wala halishtuki, limekaa tu na kushangilia miujiza ya maigizo, badala likafanye kazi kutafuta pesa.
Nabii wala hata hafanani na anachokisema, sura tu inaonesha ni tapeli ila miwatu imekaa tu kumtegea sikio.
 
Ukiisoma biblia vizuri ukaielewa huwezi kuyumbishwa.

Maana miujiza Inayofanya kweli Na Mungu ipo ila biblia inaeleza vizuri tu watakuja wengine waongo na watafanya miujiza pia,

Mhubiri kweli utamjua kwa mafundisho yake..

Mfano mhubiri anaongelea swala la kusaidia maskini na yeye kajilimbikizia mimali miingi hasaidii mtu
 
Huyu nabii juzi kafanya kitu ambacho kimenishtua sana kwenye kipindi chake, katokea mtu anadai ni kipofu kaja na mama yake mzazi, yule mama kaulizwa kadai huyo mtoto wake kazaliwa hana macho kabisa, kabla hajamuombea kamera zilikuwa zinamuonyesha yule kijana akiwa amefumba macho, na ukimwangalia yule kijana alikuwa kama anainama chini muda mwingi.

kuinamisha kichwa chini ni hulka ya binadamu inayoambatana na kuona aibu. Basi nabii akasema huyu mtu tokea kuzaliwa hajawahi kuwa na macho, sasa mungu akimrudishia hata jicho moja si itakuwa safi, basi akachukua maji ya chupa na kummwagia huku akiweka mikono yake kwenye yale macho, eti yule jamaa akafungua jicho moja linaona.

Cha ajabu eti yule kipofu ambaye hajawahi kuona tokea kuzaliwa akapata jicho moja na ye akawa katulia tu kama hamna kilichotokea, yaani fresh tu. Mtu ambaye hajawahi kuona tokea amezaliwa hawezi kuwa vile akiona.

Halafu huu usanii anaofanya nabii anashirikisha hadi wamama watu wazima kuongea uongo mbele ya kadamnasi. Toka lini mungu akamponya mtu nusu kwa kumrudishia jicho moja? Ningekuwepo siku hiyo haki ya mungu ningeomba urudie kuomba ili jicho la pili nalo lirudi.

USHAURI: Katika miujiza ambayo haina longolongo ni upofu, namshauri huyo nabii asiigize tena kuponya mtu kipofu maana kuna siku itamtokea puani. kuna watu kama sisi tukiwa eneo la tukio tutataka tuhakikishe kama huyo kipofu kweli ni kipofu kabla hujamuombea halafu tutakuumbua.

Yeye aendelee na miujiza iliyozoeleka ambayo hatuwezi kuthibitisha kama sijui nilikuwa naumwa ukimwi, tumbo, nilikuwa sizai,mapepo, kichwa kuuma, kutokwa na damu, BP n.k ila asicheze kabisa na kumponya kipofu ambaye hana macho, huo muujiza hata yesu ukimwambia arudie te na hawezi.
Kama hujui kuhusu mambo ya ki Mungu achana nayo kabisa, utakuja kupata matatizo makubwa mno maishani mwako na kamwe hutasahau kabisa.
Yaani umeenda mbali hadi unasena hata Yesu hawezi, do you know the mighty power which God unveiled to Jesus?? Yesu siyo Mungu, ni mwana Wa Mungu, nguvu aliyonayo Yesu, kuzimu wakisikia jina lake tu huwa wanalia na kuomboleza, Kama Lucifa ni jamaa yako atakusimulia, huna lolote unalojua wewe kuhusu kazi za Mungu, wewe huna tofauti na wale wa "Naomba mniombee Kwa Mungu " halafu kesho yake anatenda kinyume na mapenzi ya Mungu.
Kaa mbali na neno la Mungu, Mungu si binadamu na wala hawazi Kama unavyowaza wewe, he's God of principles.
 
Huyu nabii juzi kafanya kitu ambacho kimenishtua sana kwenye kipindi chake, katokea mtu anadai ni kipofu kaja na mama yake mzazi, yule mama kaulizwa kadai huyo mtoto wake kazaliwa hana macho kabisa, kabla hajamuombea kamera zilikuwa zinamuonyesha yule kijana akiwa amefumba macho, na ukimwangalia yule kijana alikuwa kama anainama chini muda mwingi.

kuinamisha kichwa chini ni hulka ya binadamu inayoambatana na kuona aibu. Basi nabii akasema huyu mtu tokea kuzaliwa hajawahi kuwa na macho, sasa mungu akimrudishia hata jicho moja si itakuwa safi, basi akachukua maji ya chupa na kummwagia huku akiweka mikono yake kwenye yale macho, eti yule jamaa akafungua jicho moja linaona.

Cha ajabu eti yule kipofu ambaye hajawahi kuona tokea kuzaliwa akapata jicho moja na ye akawa katulia tu kama hamna kilichotokea, yaani fresh tu. Mtu ambaye hajawahi kuona tokea amezaliwa hawezi kuwa vile akiona.

Halafu huu usanii anaofanya nabii anashirikisha hadi wamama watu wazima kuongea uongo mbele ya kadamnasi. Toka lini mungu akamponya mtu nusu kwa kumrudishia jicho moja? Ningekuwepo siku hiyo haki ya mungu ningeomba urudie kuomba ili jicho la pili nalo lirudi.

USHAURI: Katika miujiza ambayo haina longolongo ni upofu, namshauri huyo nabii asiigize tena kuponya mtu kipofu maana kuna siku itamtokea puani. kuna watu kama sisi tukiwa eneo la tukio tutataka tuhakikishe kama huyo kipofu kweli ni kipofu kabla hujamuombea halafu tutakuumbua.

Yeye aendelee na miujiza iliyozoeleka ambayo hatuwezi kuthibitisha kama sijui nilikuwa naumwa ukimwi, tumbo, nilikuwa sizai,mapepo, kichwa kuuma, kutokwa na damu, BP n.k ila asicheze kabisa na kumponya kipofu ambaye hana macho, huo muujiza hata yesu ukimwambia arudie te na hawezi.
Pole sana ndugu!! Ila YESU ni juu ya vyote na anaweza kutenda zaidi ya vile tuwazavyo pia nimekupenda sana na leo nitamuomba Yesu akupe neema ya kuujua uweza wake!!! Kuhusu manabii wa uongo na wapigaji wa pesa na wanoigiza wapo sana tu!!! Ila Yesu anatenda miujiza mikubwa sana mpaka leo!!
 
Mungu anisamehe sijui kwanini hawa mitume na manabii wengi siwaamini, juzi kuna mmoja kaagiza waumini wake waende na kufuli na ufunguo
 
Kuhusu uponyaji isikupe shida Yesu aliponya sana ukisoma mathayo 15:29-31, utajionea!!! Na manabii wa uongo wapo na wakweli pia wapo!!!!
 
Usikashifu wala usikatae miujiza ila kama iman hairuhusu acha fata iman yako. Na pia simama mwenyewe. Nilikuwa hivohivo mm wahubiri wanaohubiri miujiza niliwapinga sana nilimwamini mwalimu mwakasege anaekufundisha namna ya kusali ukipatwa Na shida. Ila mjomba wangu alipoooza miaka mnne hatembei alikatisha tamaa miujiza hiyo hiyo aliombewa akapona. Hadi Leo nikabaki nasema Mungu anisamehe yeye ndo anahukumu ila kinywa changu kisimuhukumu mtumishi yoyote
Kwanini akili zako zote umeziwekeza huko? Hivi wote wanaokwambia kuna utapeli wa kufa mtu kwenye haya madhehebu, wote kwako ni waongo?
Ndugu yako alipona,sawa. Lakini isiwe passport ya kuaminisha watu kuwa kwenye madhehebu hayo pako shwari 100%.
Vinginevyo yaweza nawe kuwa ndiye walewale.
 
Back
Top Bottom