njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,374
- 985
Wanaoamini juu ya Manabii, ni kwamba tar 9/9/2015 Nabii wa Kanisa la Ufunuo amemtabiria Dr wa HAPA KAZI TU kwamba atashinda kwa kishindo na kuwataka wanaotoa mapovu watulie kwani wanapoteza nguvu zao.
Amejinasibu kwamba ametabiri mengi ambayo yamekuja kutimia kuwa kweli, lets wait loading.
Wale wa team Gwajima mpo?
Amejinasibu kwamba ametabiri mengi ambayo yamekuja kutimia kuwa kweli, lets wait loading.
Wale wa team Gwajima mpo?