Nabii atabiri ushindi wa kishindo 2015

Nabii atabiri ushindi wa kishindo 2015

Duh hivi kanisa LA ufufuo lina nabii mwingine zaidi ya gwajima? Na kama ni huyu gwajima si ndio anampigia Edo upatu!!! Sasa inakuwaje hapo sijaelewa?

hilo linalozungumzwa kwa jina lingine linaitwa siloam linaongozwa na nabii mnuu
 
Vp kuhusu lile la nigeria alilokwenda edo akaambiwa anaupako wakuwa kiongozi wa nchi ni la kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom