Naanza kuamini kuna hujuma dhidi ya Rais Samia

Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,245
2,000
Ahahhahaha, mama hafoki wala kutokwa povu. Yeye kashasema itafika kalamu yaani vitendo tu. Tena huyu ndo mbaya kuliko yule wa kufoka na vitisho. Ona alivyowaadabisha chama cha ukombozi mpaka wamepoteana. Na timh jiwe wote kama mbweha jangwani.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
7,275
2,000
Kuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni

1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya Nishati wapo kimya

2. Yanayoendelea CCM. Kwa sasa huko Ccm kuna defectors , wanajulikana na motive yao inajulikana. Yaliyoandikwa kwenye gazeti la uhuru mpaka likafungiwa hayakuandikwa kwa bahati mbaya

Ushauri kwa Mama
1. Fanya kazi na loyalist wako, wanaokusikiliza na kukuheshimu. Fanyia kazi kundi linalotaka kukuhujumu. Anzia na Tanesco na Wizara ya Nishati

2. Kuna Loyalist wa Mtangulizi wako hawako tayari kufanya kazi na wewe. Piga chini weka wengine.

3. Itumie idara vizuri na wajipange vizuri dhidi ya hawa watu
Mbona huja mlenga Siro jiwe la kichwa? Mwambie Mama kwamba Siro ni tatizo. Yeye na kikosi chake bado wana bambika watu kesi. Wana vamia mikutano ya ndani. Wana hujumu uchumi kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu. Kula kichwa chake
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
7,782
2,000
Ahahhahaha, mama hafoki wala kutokwa povu. Yeye kashasema itafika kalamu yaani vitendo tu. Tena huyu ndo mbaya kuliko yule wa kufoka na vitisho. Ona alivyowaadabisha chama cha ukombozi mpaka wamepoteana. Na timh jiwe wote kama mbweha jangwani.
Wanamchukulia poa sana Mama! Ngoja awanyooshe 🤣🤣
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
7,782
2,000
Mbona huja mlenga Siro jiwe la kichwa? Mwambie Mama kwamba Siro ni tatizo. Yeye na kikosi chake bado wana bambika watu kesi. Wana vamia mikutano ya ndani. Wana hujumu uchumi kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu. Kula kichwa chake
Kesi zinahujumu kivipi uchumi?
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,201
2,000
Mwendakuzimu wako akikutandika akiwa hai na bado anakutandika akiwa mfu!
Eti unasemaje? Mwendakuzimu wa nani? Yaani yule dhalimu unayekesha ukimsubiria afufuke? Kama ni huyo hafufuki ng’o!

Eti huko aliko i anatutandika! Acha utoto wewe mfuasi wa shetani, kama ni huyo mbona hivi sasa keshaoza huko Chato?

Adui wa taifa hili ni CCM, period!
 
  • Thanks
Reactions: etb

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
7,782
2,000
Eti unasemaje? Mwendakuzimu wa nani? Yaani yule dhalimu unayekesha ukimsubiria afufuke? Kama ni huyo hafufuki ng’o!

Eti huko aliko i anatutandika! Acha utoto wewe mfuasi wa shetani, kama ni huyo mbona hivi sasa keshaoza huko Chato?

Adui wa taifa hili ni CCM, period!
Wana shida sana hawa chato gang
 
  • Thanks
Reactions: etb

Lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
6,545
2,000
Kuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni

1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya Nishati wapo kimya

2. Yanayoendelea CCM. Kwa sasa huko Ccm kuna defectors , wanajulikana na motive yao inajulikana. Yaliyoandikwa kwenye gazeti la uhuru mpaka likafungiwa hayakuandikwa kwa bahati mbaya

Ushauri kwa Mama
1. Fanya kazi na loyalist wako, wanaokusikiliza na kukuheshimu. Fanyia kazi kundi linalotaka kukuhujumu. Anzia na Tanesco na Wizara ya Nishati

2. Kuna Loyalist wa Mtangulizi wako hawako tayari kufanya kazi na wewe. Piga chini weka wengine.

3. Itumie idara vizuri na wajipange vizuri dhidi ya hawa watu
Mbona umeme bado unakatika hata sasa umeme umekatwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom