Naanza kuamini kuna hujuma dhidi ya Rais Samia

Asante sana Mama Samia kwa kulifanyia kazi suala la Tanesco na Wizara ya Nishati kama tulivyoshauri humu!

Hatua zilizochukuliwa za kuondoa defectors kuanzia Wizara ya Nishati hadi Tanesco ni hatua sahihi zilizochukuliwa kwa wakati sahihi.

Safisha defectors wote serikalini
Lakini wamerudi wale wale walioshindwa hapo zamani.

Akina Mafulu akina Mchechu
 
Mafuru na Mchechu thou wanaweza kuwa na mapungufu yao Ila naamini bado ni watu potential.

Wanaweza kufanya kazi kwenye mazingira ya ushindani wa kibiashara ya sasa ambayo makampuni yanatakiwa kuendeshwa kwa faida!

Wanachotakiwa kufanya sasa ni kufanya kazi kweli Kwa maslahi ya Watanzania. Waoneshe kuwa yaliyowatokea huko mwanzoni ilikuwa visa Kweli na wao ni watumishi wazuri Kwa maslahi ya Tanzania.
Lakini wamerudi wale wale walioshindwa hapo zamani.

Akina Mafulu akina Mchechu
 
Walianza ushenzi sana! Eti kipindi cha Magufuli hakukuwa na kukatika kwa umeme! Ila Mama wa watu kashika tu usukani wakaanza kukata umeme hivyo hovyo. Chuki zao tu kumfitinisha Mama na Watanzania
Mbona mnapenda sana kuficha udhaifu wa kiuongozi na kimaono kwa huyu mama kwa kuwasingizia watu wengine? Kwani Magufuli alifanyaje mpaka Umeme usikatike na mama ameshindwaje?
 
Walianza ushenzi sana! Eti kipindi cha Magufuli hakukuwa na kukatika kwa umeme! Ila Mama wa watu kashika tu usukani wakaanza kukata umeme hivyo hovyo. Chuki zao tu kumfitinisha Mama na Watanzania
Huyu Mtu anayeitwa Magufuli atakutesa hadi siku utakapoingia kaburini ndio utakuwa na Amani.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni

1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya Nishati wapo kimya

2. Yanayoendelea CCM. Kwa sasa huko Ccm kuna defectors , wanajulikana na motive yao inajulikana. Yaliyoandikwa kwenye gazeti la uhuru mpaka likafungiwa hayakuandikwa kwa bahati mbaya

Ushauri kwa Mama
1. Fanya kazi na loyalist wako, wanaokusikiliza na kukuheshimu. Fanyia kazi kundi linalotaka kukuhujumu. Anzia na Tanesco na Wizara ya Nishati

2. Kuna Royalist wa Mtangulizi wako hawako tayari kufanya kazi na wewe. Piga chini weka wengine.

3. Itumie idara vizuri na wajipange vizuri dhidi ya hawa watu
lazima wanyooke tu si kwa mwendo wa mama SSH
 
lazima wanyooke tu si kwa mwendo wa mama SSH
Wanamchukulia Poa sana Mama. Wakiona anaongea kiupole wanaona wanaweza kumwendesha Kama wapendavyo.

Kumbe Mama yuko vizuri na watanzania WAZALENDO tunaoipenda nchi na sio watu wala makabila tupo kwa ajiri ya kuitetea nchi yetu kwa kushauri vizuri kwa mustakabali wa Taifa letu!
 
Tumu Magu wanajitutua ila wanaminywa...hii katiba mtu aliwa Rais wewe uwe mpole tu.

Mzee Slow slow anajitahidi kutoa hisia zake ila hamna kitu..namshauri aje kujiunga nasi kudai katiba mpya ambayo yeye alikuwa mjumbe.

Hii nchi mtu akishaapiswa tu kuwa Rais ni nusu muumba...

Katiba hii siyo kabisa, hao wna CCM ambao wanadhani wanaweza kumhujumu Mama Samia wanajisumbua bure...ana mamlaka yoote ndani ya nchi hii.
 
Tumu Magu wanajitutua ila wanaminywa...hii katiba mtu aliwa Rais wewe uwe mpole tu.

Slow slow anajitahifi kutoa hisia zake ila hqmna kitu..namshauri aje kujiunga nasi kudai katiba mpya ambayi yeye alikuwa mjumbe.

Hii nchi mtu akishaapiswa tu kuwa Rais ni nusu muumba...

Katiba hii siyo kabisa, hao wna CCM ambao wanadhani wanaweza kumhujumu Mama Samia wanajisumbua bure...ana mamlaka yoote ndani ya nchi hii.
Wanadhani wataweza kumuhujumu Mama. Kumbe wanachorwa tu!
 
Wanamchukulia Poa sana Mama. Wakiona anaongea kiupole wanaona wanaweza kumwendesha Kama wapendavyo.

Kumbe Mama yuko vizuri na watanzania WAZALENDO tunaoipenda nchi na sio watu wala makabila tupo kwa ajiri ya kuitetea nchi yetu kwa kushauri vizuri kwa mustakabali wa Taifa letu!
lkn bado kuna changamoto kubwa.. mama asipokua makini inchi itamshinda. amini kwamba
 
lkn bado kuna changamoto kubwa.. mama asipokua makini inchi itamshinda. amini kwamba
Hapana! Haiwezi kumshinda. Amini nakwambia ni kikundi cha watu wachache ila kwa jinsi Mungu anavyoipenda Tanzania hawatafanikiwa
 
Back
Top Bottom