Naanza kuamini kuna hujuma dhidi ya Rais Samia

Hahahaah CCM huwa hawakosi pa kutokea wakibanwa
Mleta mada alikuwa shabiki mwenzio wa Lisu na alijiapiza afe kipa afe beki lazima Lisu aende ikulu na asipoenda atakinukisha mtaani!

Sasa hivi naona kabadili gia angani au labda ni udini unamsumbua
 
Piga chini akina polepole, Gwajima, bashiru na wengine. Sikiliza wapinzani wana hoja kama hutawasikiliza utazidi kuchafuka na kuishia kushindwa.
 
Mleta mada alikuwa shabiki mwenzio wa Lisu na alijiapiza afe kipa afe beki lazima Lisu aende ikulu na asipoenda atakinukisha mtaani!

Sasa hivi naona kabadili gia angani au labda ni udini unamsumbua
Hahahaah sasa mbona na wewe uko kama sigara kali eti?
 
 
No doubt unamànisha " loyalist"
 
Linahujumiwa lenyewe likiwa wapi?
 
Royalist Ndio nini?? Au ulitaka kumaanisha Loyal?? Alafu usimhusishe Magufuli kwenye vitu vya kijinga.Wala hakuna anayehujumu ni uzembe na uongozi mbovu! Kwanini mnaogopa kumbebesha lawama? Mbona Magufuli mlikiwa mnabebesha lawama zote wala hamkusema kuna mtu anamhujumu! Si mlisema anaupiga mwingi,Haya tulieni sasa mnyolewe! Kazi inaendelea
 
Umeme umekuwa ukikatika Tanzania miaka yote leo unasema Samia anahujumiwa, una mahaba ya kilevi kwa huyo mama, the fact is, your mama is too weak, both mentally and physically.
 
Umeme umekuwa ukikatika Tanzania miaka yote leo unasema Samia anahujumiwa, una mahaba ya kilevi kwa huyo mama, the fact is, your mama is too weak, both mentally and physically.
Udini unamsumbua mkuu
 
Tuliwaambia Magufuli ni Rais bora kabisa nchi yetu imewahi kupata. Mkalewa propaganda za mabeberu na wapinzani wasiokuwa wazalendo. Hakuna mtu anayemhujumu, huo ndiyo uwezo wake na umeishia hapo. Msimtetee, hakuna anayemhujumu.
 
Asante sana Mama Samia kwa kulifanyia kazi suala la Tanesco na Wizara ya Nishati kama tulivyoshauri humu!

Hatua zilizochukuliwa za kuondoa defectors kuanzia Wizara ya Nishati hadi Tanesco ni hatua sahihi zilizochukuliwa kwa wakati sahihi.

Safisha defectors wote serikalini
 
Yaani Mama naona anazidiwa mpaka anaenda Rwanda afu anasema tununue v8 huko.
Ni kwa Nini majeshi yake yawe msumbiji jamaa sio mtu poa kabisa
Niliyosikia kuhusu M7 alivyotuhumiwa na Alpha Blonde wa Guinea nashtuka.

Bahima Empire is real
 
Mabadiliko makubwa yaliyotokea Wizara na Nishati ni hatua mojawapo ya kuwaondoa watu walioanza kumuhujumu Mama Samia.

Watu walianza kufanya mambo ya ajabu ili Mama Samia aonekane hafai kuongoza hii nchi kumbe ni hujuma zao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…