Naantombe Mushi is in the house

Duu!! Bora tuburudike kwanza.

Ila navyojua wengi waliopewa haya majina ambayo kwa kiswahili yanakwaza wengi huyabadili wakienda sekondari.

Ila ni majina ya kawaida kabisa huko. Yako mengi tu pia lugja zingine.
 
Kuna mtu alikuwa anatoka maeneo ya rombo tarakea akipofika kwangu akawa anataka nimuwekee mziki wa bend ya ntombe b sasa hapa umenikumbusha mbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom