Naantombe Mushi is in the house

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,602
Mimi ni mgeni humu na nimekuwa nikipendezwa sana na mada nnazozisoma humu kabla sijajiunga. Hivo na mimi nimeamua kujiunga humu coz ni sehemu ambayo naweza kupata ushauri wenye maana.


Congratulations to me, Now in the house.

#naantombemushi.eeeka#
 
karibu Mkuu jamvini,...ushauri wa kumwaga ila uchanganye na zako kabla ya kuchukua maamuzi....welcome
 
Aisee hilo jina lako la mwanzo yani kulitaja ni tusi kubwa sana kwa mwanaume kwa lugha yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom