Naangalia TBC muda huu anasifiwa Magufuli tu

Naangalia TBC muda huu anasifiwa Magufuli tu

Umepelekwa nini?
Simlisema hamuangalii?
NAANGALIA TBC MUDA HUU ANASIFIWA MAGUFULI TU na kwaya.

Muimbaji anasema watoto Sasa hivi madarasani hawakai chini kwasababu magufuli amefuta hili tatizo.

Pia Hilo jamaa Nene jeusi lenye mtambi linasema Sasa hatukopi Tena na bakuli la ombaomba liko kabatini. Ila ni Jana hapa tumeambiwa mkopo wa world Bank dola 500 tulizozililia unakuja.

Anyway nikusifu tu hapa hongera TBC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeifanya TBC ionekane kituko mbele ya jamii mbaya zaidi mmeviminya vyombo binafsi vingine ili navyo vifananefanane na TBC ni Kama mnavyopanga mkakati wa kuzidhoofisha private schools ili zifanane na vituo vyenu vya kulelea binadamu mnavyoviita shule.
Private schools zimedhoofishwa vipi? Na vyombo vya habari vimeminywa vipi?
 
TBC kazi yao ni kurusha maudhui yanayaosifia serikali ya awamu ya tano 24/7



Cc: mahondaw
 
nasubiri gudlak jonasan amalize kuimba niangalie kusifu na kuabudu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna siri kubwa kuhusu TBC na CCM..ila nikimaliza nitamwaga taarifa zote apa kama ni kweli CCM inamiliki his a 95 % za TBC. Tupeane muda
 
Kuna siri kubwa kuhusu TBC na CCM..ila nikimaliza nitamwaga taarifa zote apa kama ni kweli CCM inamiliki his a 95 % za TBC. Tupeane muda
Ndio umbeya wenyewe huo, si uanike vitu hadharani? Mtu mzima anagwaya kuweka ukweli aibu!
 
Ndio umbeya wenyewe huo, si uanike vitu hadharani? Mtu mzima anagwaya kuweka ukweli aibu!
Acha atafute data ili awe na moral authority akili kubwa haikurupuki
 
Hii TV inatumika vibaya kama chombo cha propaganda Jambo moja linafanywa linatangazwa mara elf 20.Awamu zilizopita walifanya makubwa hatukusukia propaganda hizo
 
Hawa viongozi wanategemea sifa ili waishi hawajiulizi siku wakistaafu wataishije bila kusifiwa?
 
NAANGALIA TBC MUDA HUU ANASIFIWA MAGUFULI TU na kwaya.

Muimbaji anasema watoto Sasa hivi madarasani hawakai chini kwa sababu Magufuli amefuta hili tatizo.

Pia Hilo jamaa Nene jeusi lenye mtambi linasema Sasa hatukopi Tena na bakuli la ombaomba liko kabatini. Ila ni Jana hapa tumeambiwa mkopo wa world Bank dola 500 tulizozililia unakuja.

Anyway nikusifu tu hapa hongera TBC.
Unakosea sana kutuletea threads za kimavi mavi humu!
Unaangalia TBC unathubutu kuja kutusimulia?????
Usirudie tena, shabhaaash!
 
Back
Top Bottom