Valentina sijui nije pm
naomba usimlize kaka plz he deserve the best si unakumbuka lakin what hapen dah natamani kuwaanzishia uzi jamani nimefurahi sana sikujua mambo yalikuja kuwa mazuri hivi
Valentina sijui nije pm
naomba usimlize kaka plz he deserve the best si unakumbuka lakin what hapen dah natamani kuwaanzishia uzi jamani nimefurahi sana sikujua mambo yalikuja kuwa mazuri hivi
Taratibu mama
Don't wory my wii! Kaka yako hapa amefika,full kubembelezana kwa mahaba ya juu kwa penzi lisilo na kikomo. Maumivu yote kwisha yamebaki historia tuuu.
Hakika umepata kwani Kirua na marangu sii mbali hata wazee wetu walikuaga wanakwendaga kwa miguu kunywaga pombe.
mamiii enjoy to the fullest
mkitaka kuhalalisha naomba usinisahau my wiii kwa kweli ninastahili kuja kushuhudia
that is true love nilikuwa nasikiaaga stor tu
Nilivyomuelewa ni kwamba alikuwa na mume, wakaachana, sasa anamtafuta huko alipo kupitia JF, na kwa kuwa si rahisi kuweka jina lake halisi humu, ameamua aweke wasifu wake mfupi kama vile umri wake, mwaka aliomaliza chuo, kabila lake na kabila la huyo mume wake! Jamaa, jitokeze umrudie mkeo wa zamani!
Huyu hapaWadau nadhani mei moja imekwisha,mimi lwa ufupi ni msichana nina miaka24 nimemaliza chuo mwaka jana nipo mtaani nafanya biashara ndogo ndogo,me ni mchaga mmarangu, katika mipango yangu ya maisia nadhanh huu ni wakati wangu wa kuanzisha familia na kupanga maisha mengine,nadhani mume wangu yupo humu,ni wa kabila langu sio mbali na nilipozaliwa hvyo naomba ajitokeze tuwasiliane au tukutane,me naishi mwanza na tarime kwa sasa kwa sababu ya biasiara yangu,
nadhani mmenielewa ,
Kwa kifup mim nikijana wamiaka 26,nimemaliza chuo ila ni mjasiria mali.mchaga natafta mke wa kumpenda,kumbembeleza na wakunidekea!awe mmarangu au kabila lolote.
Muulize anachokipenda huko labda unaweza kuwa nacho....Tatizo huyu dada anaubaguzi anataka mtu wa kabila lake mimi ni MGOGO lakini yeye anataka mchaga mmarangu nahisi fursa hii nimeshaikosa.Au sijui ni mdanganye kuwa mimi ni mchaga mmarangu.Maana Sasa Huku Nikubaguana.
Valentina sijui nije pm
naomba usimlize kaka plz he deserve the best si unakumbuka lakin what hapen dah natamani kuwaanzishia uzi jamani nimefurahi sana sikujua mambo yalikuja kuwa mazuri hivi
what happened....
long story asakuta same sijui nianzie wapi
Wadau nadhani mei moja imekwisha,mimi lwa ufupi ni msichana nina miaka24 nimemaliza chuo mwaka jana nipo mtaani nafanya biashara ndogo ndogo,me ni mchaga mmarangu, katika mipango yangu ya maisia nadhanh huu ni wakati wangu wa kuanzisha familia na kupanga maisha mengine,nadhani mume wangu yupo humu,ni wa kabila langu sio mbali na nilipozaliwa hvyo naomba ajitokeze tuwasiliane au tukutane,me naishi mwanza na tarime kwa sasa kwa sababu ya biasiara yangu,
nadhani mmenielewa ,