Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,426
- 30,948
Jamani tuambiane ukweli hivi mradi mkubwa wa kuchimba eneo kubwa vile kama stiglaz goj utakosa madini kweli?
Je, serikali inalijua hili na Kama hailijui basi ilifanyie kazi. Kama inalijua basi tuiulize je Kama Kuna dhahabu madini hayo yanaenda wapi?
Isije ikawa mradi unajilipa wenyewe halafu sisi tunaukopea matrilioni kumbe wajanja wa yapi merkez wanafanya Yao.
Kuna habari kwamba wakati wabrazili wanajenga bwawa la mindu pale morogoro mzumbe wabrazili walikuwa wanachimba dhahabu pia.
Mwalimu Nyerere kwa kulitambua hilo alipenyeza vijana wake wa kitengo kina Dr kipilimba walipokuja kumwaga data ikaonyesha jamaa wamechimba Sana madini.
Mwalimu Nyerere aliwafukuza ndani ya masaa 24.
Sasa naiomba serikali yangu iliangalie hili uchimbaji mkubwa Kama ule ambao unaondo kifusi Cha tani milioni moja huwezi kosa dhahabu.