Naamini mradi mkubwa kama Stiegler's Gorge haukosi dhahabu. Je, kama ndivyo zinaenda wapi?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Jamani tuambiane ukweli hivi mradi mkubwa wa kuchimba eneo kubwa vile kama stiglaz goj utakosa madini kweli?

Je, serikali inalijua hili na Kama hailijui basi ilifanyie kazi. Kama inalijua basi tuiulize je Kama Kuna dhahabu madini hayo yanaenda wapi?

Isije ikawa mradi unajilipa wenyewe halafu sisi tunaukopea matrilioni kumbe wajanja wa yapi merkez wanafanya Yao.

Kuna habari kwamba wakati wabrazili wanajenga bwawa la mindu pale morogoro mzumbe wabrazili walikuwa wanachimba dhahabu pia.

Mwalimu Nyerere kwa kulitambua hilo alipenyeza vijana wake wa kitengo kina Dr kipilimba walipokuja kumwaga data ikaonyesha jamaa wamechimba Sana madini.

Mwalimu Nyerere aliwafukuza ndani ya masaa 24.

Sasa naiomba serikali yangu iliangalie hili uchimbaji mkubwa Kama ule ambao unaondo kifusi Cha tani milioni moja huwezi kosa dhahabu.
 
Hata kwenye makinikia mlidai mmeibiwa sana, dogo siyo kila miamba inayoiona INA dhahabu au madini yenye thamani, acha kukaa vijiwe vya kahawa utavuna umbea utakaokusabisha uwe kichaa, hebu jaribu kuchimba hapo barazani kwenu kama utaipata dhahabu hafu ndo uje na hekaya zako
 
Jamani tuambiane ukweli hivi mradi mkubwa wa kuchimba eneo kubwa vile Kama stiglaz goj utakosa madini kweli?

Je serikali inalijua hili na Kama hailijui basi ilifanyie kazi. Kama inalijua basi tuiulize je Kama Kuna dhahabu madini hayo yanaenda wapi?

Isije ikawa mradi unajilipa wenyewe halafu sisi tunaukopea matrilioni kumbe wajanja wa yapi merkez wanafanya Yao.

Kuna habari kwamba wakati wabrazili wanajenga bwawa la mindu pale morogoro mzumbe wabrazili walikuwa wanachimba dhahabu pia.

Mwalimu Nyerere kwa kulitambua hilo alipenyeza vijana wake wa kitengo kina Dr kipilimba walipokuja kumwaga data ikaonyesha jamaa wamechimba Sana madini.

Mwalimu Nyerere aliwafukuza ndani ya masaa 24.

Sasa naiomba serikali yangu iliangalie hili uchimbaji mkubwa Kama ule ambao unaondo kifusi Cha tani milioni moja huwezi kosa dhahabu.
Umeongea ukweli mtupu.
Mto mkubwa kama Rufiji hauwezi kukosa Vito vya thamani.
Wanzetu kwa bahati nzuri wanayajua sana madini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japokua unaweza kusema wewe ni mzalendo wa kweli, lakini hapa mkuu umepiga RAMLI CHONGANISHI.

Vinginevyo uje na data za ki-jiolojia juu ya uwepo wa dhahabu kwenye aina hiyo ya miamba hapo nitakuelewa kwamba una hoja.
 
Pale Moro ni mkoa wa madini ujue na pia uchimbaji mkubwa Kama ule na kina kile kweli ukose hata tujiwejiwe kweli.
Mkuu hiyo STINGILAZ GOJI iko Mkoa wa Pwan Wilaya ya Rufiji haiko Mkoa wa Morogoro. Enewey tumekupata konsani yako
 
Mhuuu! Bado sina uhakika mkuu kafanye utafti. Hoja yako inaweza au isiweze kuwa na mashiko
 
Back
Top Bottom