Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,949
<br />acha ifike hata 30000..labda tutaamka..
Sukari Tsh3000 ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania hayo, usishangae....jamani, hata shule itanishinda! Kikwete anaona fahari gani kujiita rais wa Taifa letu tunalolipenda? Lini ataiipenda nchi yetu? Mlio na mawasiliano nae mwambieni kuwa angalau ataokoa reputation yake japo kwa kiwango kidogo kama atakubali kuwa nchi imemshinda.
<br />mbona hiyo ni bei ya kawaida na tumeshaizoea???<br />
mimi sasa hivi hata sinywi chai.tumeamua kubana matumizi.sasa hivi sukari inanunuliwa kama kuna mgonjwa au kwaajili ya watoto wadogo wanaokunywa uji.sijui sukari ya kuweka kwenye maandazi na kababu hamna hiyo kitu.mia
<br />Kwa nini hamuoni kuwa viongozi wamekuwa creative hawataki tupate kisukari?