Naambiwa leo sukari inauzwa Shilingi 3000...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...jamani, hata shule itanishinda! Kikwete anaona fahari gani kujiita rais wa Taifa letu tunalolipenda? Lini ataiipenda nchi yetu? Mlio na mawasiliano nae mwambieni kuwa angalau ataokoa reputation yake japo kwa kiwango kidogo kama atakubali kuwa nchi imemshinda.

naa bado mkomoeni inazidi, wakisema mnawakubali mnakaa kimya, kama vipi kataeni!

Wakati JK anaingia madarakani mwaka 2005 sukari ilikua sh 750 kwa kilo.Subiri utamsikia gavana anasema uchumi unakua

Ukiona hivyo kuna hele ye uchaguzi inatafutwa, wanatengeneza upungufu wa sukari, kisha waagiza toka nje.... Hapo ndio wanatupiga bao watanzania

mbona hiyo ni bei ya kawaida na tumeshaizoea???
mimi sasa hivi hata sinywi chai.tumeamua kubana matumizi.sasa hivi sukari inanunuliwa kama kuna mgonjwa au kwaajili ya watoto wadogo wanaokunywa uji.sijui sukari ya kuweka kwenye maandazi na kababu hamna hiyo kitu.mia

Ndugu unashangaa kabisa this is what we apharzads economy!!Watanzania wenyewe ndo tulifirisi vianda vyote mfano Kagera Sugar na Kilombero kisha tukaviuza na bila ya kujenga vingine alafu mkaja na misatiati eti liberal economy,privatisation and rehabilitation nyoooh kumbe ni piratisation of the TZ economy.Tukiwahamsha mnasema bado mnausingizi,tukiwaonesha mwanga mnasema tusubiri giza msionekane.HAYA UJUI KUWA CHAI YENYE SUKARI NA UMEME KWA WANANCHI HAPA TANZANIA NI ANASA NA SIYO BASIC!!! BALI NI BASIC KWA WENYE NCHI!!

...jamani, hata shule itanishinda! Kikwete anaona fahari gani kujiita rais wa Taifa letu tunalolipenda? Lini ataiipenda nchi yetu? Mlio na mawasiliano nae mwambieni kuwa angalau ataokoa reputation yake japo kwa kiwango kidogo kama atakubali kuwa nchi imemshinda.
Sukari Tsh3000 ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania hayo, usishangae.

Waliokuwa wanamsafirisha na kumsaidia kofia, kanga na T-shirt za njano na kijani wakati wa kampeni wanarudisha gharama zao kuendelea kumtafutia nauli za ndege akaendeleze umatonya na kununuliwa suti na wakoloni a.k.a wawekezaji huku akichuuza nchi yetu.

Tumethubutu,tumeweza na tunasonga,,,,,,,,mbona hiyo bei ya kawaida MBAMBA wameanza kuinunu kwa bei hiyo kabla ya oktoba mwaka jana,,,,,,,,,,

inauma sana Watanzania kuendelea kulala, miwa inalimwa hapahapa bongo kwa wingi sana lakin tunauziwa sukari kama tupo nje ya Tanzania. inauma sana kuwa na viongozi ambao wananuka rushwa all the time na pia kutaka kuhujumu watz

mbona hiyo ni bei ya kawaida na tumeshaizoea???

mimi sasa hivi hata sinywi chai.tumeamua kubana matumizi.sasa hivi sukari inanunuliwa kama kuna mgonjwa au kwaajili ya watoto wadogo wanaokunywa uji.sijui sukari ya kuweka kwenye maandazi na kababu hamna hiyo kitu.mia

HIVYO CHAI NI ANASA SIO? ASEE NAKUMBUKA WKT NAKUA NLIKUWA NATUMWA SUKARI DUKA LA USHIRIKA LOL SASA INAKUWA HIVYO KIMTINDO MWINGINE!

Kwa nini hamuoni kuwa viongozi wamekuwa creative hawataki tupate kisukari?

Mi cjui wa2 hawaoni maana ni ki2 cha wazi ya kwmb viongozi we2 hawataki hata tupate sukari. Kisa nchi ya jiran hali yao ni mbaya halafu na tunaunganishwa nao twende sambamba nao. Yani ye2 ngumu.

Labda ishu hii itasaidia kuwaamusha watanzania na kuzidi kuamini kuwa magamba wameshindwa kazi. Naomba izidi kupanda kesho iwe 20 times.

Similar Discussions

Back
Top Bottom