Naambiwa leo sukari inauzwa Shilingi 3000...

Naongezea 10 hapo kwenye 30 ili iwe elfu 40 hapo ndio itakuwa safi kabisa,maana mijitu mingine haisikii kila siku ni kuisifia sisi em.

Yani Best miji2 mingine ni wakuwapiga Ban humu jamvini km ningekuwa na uweza. Yani hawahawa ndiyo wanao2fanya kuwa ktk hali hii.

sukari guru si ipo? Au na yenyewe imepanda tuhamie kwenye uji wa chumvi tu sasa....

Mwenye kujua upatikanaji wa Sukari guru a2juze humu jamvini wajameni. Kweli serikali ya mapapa ni hatari danger!

Maisha matamu, lakini mafupi. Nahofia nisije kufa mapema nikavimiss vituko vya Tanzania nchi ya wadanganyika!

Mwenye kujua upatikanaji wa Sukari guru a2juze humu jamvini wajameni. Kweli serikali ya mapapa ni hatari danger!

Umenkumbusha enzi nipo bongo mtoto mdogo.
Inaitwa sukar gudu/ sukar guru?
Ilikua ni kwa matumiz gani hiyo kitu?

Similar Discussions

Back
Top Bottom