Naachika kila siku

Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana
Smile mimi nimetafsiri sentensi hiyo hapo juu nikadhaniunamaanisha kudooo lol...Nimeshangaaje.....
tukikubaliana kuanza mahusiano......................
 
ukitaka kudumu karne kwenye ma-relation jifunze na u-PRACTIZ KUSAMEHE NA KUVUMILIANA maana huwezi kumpata ambae ni 100% sawa na wewe.
 
wewe kupiga simu afu isipokewe ndio hasira...? Jiulize au ulizaneni sababu za kutopokewa. Inaawezekana alikua anaoga, kaiweka chaji, alikua kwenye kikao, nk. THIS IS A VERY MINOR ISSUE. Nlifikiri labda umemfumania au kakutwanga kumbe simu tu...?
 

naamini wote wanaoamini hvi huwa yanawatokea akiwem0 smile !
 

Kweli kabisa,mimi nilishasau habari ya Facebook siku nyingi nipo jamvini tu,naye anajua sasa hana mategemeo ya mimi ku like wala ku comment,by the way facebook imekaa ki udaku udaku na mimi na udaku mbali na mbali!
 

Mungu wangu!!!!
 
Kweli kabisa,mimi nilishasau habari ya Facebook siku nyingi nipo jamvini tu,naye anajua sasa hana mategemeo ya mimi ku like wala ku comment,by the way facebook imekaa ki udaku udaku na mimi na udaku mbali na mbali!

Mtanzania Imara uko kama mimi aise
Niliachana na Facebook muda sana maana niliona udaku na mambo ya ajabu ajabu sana mle
So huko kama yuko huko asifikirie kuniona nikicomment wala kumsifia
 

Mmmm nenda kwa Mzee a Upako atakupa mtu akupendaye milele....Je Unataka mchumba au Mume?Njoo kwa mzee wa UPAKO...
 
umeona eeeh wapenda uchi tu ...wakafie mbali huko....hawatakiwi kupewa hata sekunde moyoni mwako
Ingekuwa kwa wasiostaarabika hapo kwenye bold wangekuwambia "You are so stupid", lakini kwetu sisi "wasomi" huwa hatusemi maneno makali namna hiyo, ila nakuambia "I think your level of appreciating issues is now diminishing!". Unajua ni kwanini? Kama hapo kwenye bold ndio conclusion uliyoifikia, ya nini kutusumbua hapa JF? Si ungekaa kimya tu? Na nyie WanaJF, hivi mnadhani kila aliye na uke anafaa kuwa Mke? Wengine kama huyu wa Kutabasamu hawafai na wala hawakuumbwa ili waolewe, wao ni wa "hit & run". Nadhani Smile atakuwa amenielewa, or else haiwezekani ni yeye tu ambaye kila mwanaume anayekuwa naye yeye anamuona hafai! Usiendelee kusumbua watu, wewe subiri watu wawe wanagonga na kutambaa tu, umeumbwa kwaajili hiyo full stop!
 


Congratulation Smile
Its becouse your heart is full of love. When you love you give your all, thats why you need him to be there all the time
the one to be talking to you all the time.
Problem is most men are careless especially when it come to love,yeye anapokupigia hata usiku wa manane itakuwa mbinde
Lakini yeye awezaleta visababu oooh nilisahau phone kwenye gari oooh nilipitiwa usingizi oooh vilipanda vikashuka.
Dont give up, someone is somewhere for you, atakaependa kufanya yale yanayokupa furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…