mtu chake mambo mengine hayahitaji hata darubini kuyagunduahilo la kucomment katika wall hata mie nakukubalia. Mr Rocky...na picha unabidi ucomment..sasa watu kama sisi vimeo kila kona utata mtupu
..hahahahahahaha..kweli kaka..ila ttz dada zetu nao ..beki hazikabi....hapa kn mmoja kanitupia pic kwenye whats up..nina kazi ya kusifia tu...mtu chake mambo mengine hayahitaji hata darubini kuyagundua
Ndo maana unakuwa mtu wa kukaa kimya hakuna kuuliza wala nini
Maana ukimchunguza sana bata ..............................
haya mawasiliano haya ni balaa mkuu ni bora kuacha kama yalivyo
..hahahahahahaha..kweli kaka..ila ttz dada zetu nao ..beki hazikabi....hapa kn mmoja kanitupia pic kwenye whats up..nina kazi ya kusifia tu...
...hahahaha..mkuu unanifurahisha sana...ngoja nimsifie apate kichwa...ila mizinga nayo mh.. maana naona kaishaanza kusema..eti ooh best yangu ana shiriki miss inter college...tobaaa..nafwaa...unadhani nini kinaFUATAA HAPOHapo na ukiacha kusifia unaonekana hamnazo
Ndio wanalotaka
Wapigiwe simu waambiwe wamepandeza au umemmiss sana wakati mmeachana nusu saa iliyopita
Sms za mapenzi na kumsifia wakati wote hata kama sifa zako hazitoki moyoni mwako
Kumuambia kuwa unampenda wakati unamfaidi na wala huna mpango nae
Ndo wanazotaka
Hapo na ukiacha kusifia unaonekana hamnazo
Ndio wanalotaka
Wapigiwe simu waambiwe wamepandeza au umemmiss sana wakati mmeachana nusu saa iliyopita
Sms za mapenzi na kumsifia wakati wote hata kama sifa zako hazitoki moyoni mwako
Kumuambia kuwa unampenda wakati unamfaidi na wala huna mpango nae
Ndo wanazotaka
...hahahaha..mkuu unanifurahisha sana...ngoja nimsifie apate kichwa...ila mizinga nayo mh.. maana naona kaishaanza kusema..eti ooh best yangu ana shiriki miss inter college...tobaaa..nafwaa...unadhani nini kinaFUATAA HAPO
jirani hapa sasa umeuwa bendi....hee!!....ina maana.....
NGOJA KAKA....
mtu assume hapokei simu usiku...
wala hakupigii usiku.....
sms hajibu.....eti nilikuwa nimelala..au nacheki mechi
kuna mtu analalaa saa 12? tupilia mbali huko
bt nafikiri andaa uzi hapo patamu aiseeeeee ongeza na tamaa za ngonohivi unakuwa na mtu kwa sababu mnapendana au kwa sababu mmetongozana?
Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa..
Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi..
Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana kesho akinitibua tu sijui upokei simu .maquestion mark kichwani.... Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta....... Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana?
Mbona mtu mzushi siku ya kwanza tu utamjua?au mimi naona visivoonekana?
NGOJA KAKA....
mtu assume hapokei simu usiku...
wala hakupigii usiku.....
sms hajibu.....eti nilikuwa nimelala..au nacheki mechi
kuna mtu analalaa saa 12? tupilia mbali huko
Okay Smile nimekusoma....nadhani ni sahihi pia nikisema huwa mnaachana....haya mambo ya Beijing haya maana wenzangu akina Bishanga zamani walikuwa wanawowa sasa wanawowana...mimi nawaacha bwana
wewe ukitongozana na mtu lazima msex eeeh .... Mimi sio wa hivo mkuuokay smile nimekusoma....nadhani ni sahihi pia nikisema huwa mnaachana....haya mambo ya beijing haya maana wenzangu akina bishanga zamani walikuwa wanawowa sasa wanawowana...
By the way smile ni kama hali iko hivyo unadhani ndio maana unatuasa kuwa ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu......
point taken madam...
wewe ukitongozana na mtu lazima msex eeeh .... Mimi sio wa hivo mkuu
wewe ukitongozana na mtu lazima msex eeeh .... Mimi sio wa hivo mkuu