Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

matumizi ya kujiservice kila wikendi anapata

hapo ni kulijadili nyie wawili,kwa upendo na upole ili hata kama kuna kitu anazifanyia aweze kukwambia sio ndio umuende kama liafande
 
ahahahaha ati kumwambia unashindwa??? mkuu hauko serious yani mimi ninavyopenda kula chakula kizuri uwiiii ngekuwa nimemvunja siku nyingi
 
wanawake walishatufanyaga vimradi vyao siku hizi na inawalipa sana tu
mi nilishawastukia
 
Hahahahahaha samahanini lkn hii thredi imenichekesha na jinsi wachangiaji mnavyochangia khaaaaa hahahahaaaaaaaaa
ngoja yakukute ndo utajua mbichi na mnivu ndugu
 
ahahahaha ati kumwambia unashindwa??? mkuu hauko serious yani mimi ninavyopenda kula chakula kizuri uwiiii ngekuwa nimemvunja siku nyingi[/QUOTE Manka,si utapata hasara bure kwa garama stazotumia kumtibu
 
Last edited by a moderator:
kwanza mi mwanamke ambaye hana kazi anakaa tu home hua sipendi, sasa plus matatizo ya msoc ndo kama hivo, haha bahati si mimi ningekua nshamtema long time.. Ugali dagaa kitu gani, japo we jamaa naye hata hujajipanga kabisa, watu wawili tu msoc 450k/m afu dagaa! hahaha.. nikikuita mzemb**e ntakosea? maana unamuogopa mwanamke ambaye ulitakiwa umcontrol afu unakuja kumshitaki JF nadala ya kumface na kumpa reality ya maisha
 
Mkuu huyo ni kibaka mzoef cha kufanya hyo pesa ipigie mahesabu ya cku hata tano au 3 akikwambia imeisha ndo bunge lianze huyo anakuchota.Gutuka utakuja kuctukia amesepa akiona mtaji umetosha kwa hela anayo kuvuna.
 
Ngoja tufanye hesabu kidogo yawezekana bibie yuko sahihi maana inawezekana ndani kila kitu ni cha kununua. Karibia sehemu nyingi Dar hali ni hivi.

Mkaa kopo mbili = 3000
Mafuta ya kula kopo mbili = 1000
Nyanya fungu moja = 500
Nazi moja = 700
Unga kilo = 1000
Maharage kilo = 2500
Maji ndoo tano = 500
chumvi = 500
Mkate = 800
Sukari nusu kilo = 1000
Sabuni ya unga = 1300
Sabuni ya kuoga = 500
Kiberiti = 100
Vitunguu = 500
Pilipili hoho = 500
Karoti = 500
Limau = 200

Jumla unapata 15,100. Hii ndiyo hali halisi kwa chakula cha ugali maharage.
 
Kila siku anatumia chumvi ya 500, Mafuta ya 1000 daily?
 
Nunua vitu vya jumla kaka kama mchele unga wa ngano sembe mafutaya kula maharage kama una friji nunua nyama XZa jumla au samaki inategemea na mazingira ulipo na upatikanaji wa hivuo vitu baada ya hapo muachie buku 5 inatosha kwa ajili ya vitu vidogo vidogo ijiwezekana vingine kama vitunguu carrot unaweza kununua pia
 
Kila siku anatumia chumvi ya 500, Mafuta ya 1000 daily?
Hatumii chumvi ya 500 daily lakini pia kumbuka kuna vitu vingi sijaviweka mfano steel wire, mboga za majani na matunda.
 
Ngoja tufanye hesabu kidogo yawezekana bibie yuko sahihi maana inawezekana ndani kila kitu ni cha kununua. Karibu sehemu nyingi Dar hali ni hivi.

Mkaa kopo mbili = 3000
Mafuta ya kula kopo mbili = 1000
Nyanya fungu moja = 500
Nazi moja = 700
Unga kilo = 1000
Maharage kilo = 2500
Maji ndoo tano = 500
chumvi = 500
Mkate = 800
Sukari kilo = 1000
Sabuni ya unga = 1300
Sabuni ya kuoga = 500
Kiberiti = 100
Vitunguu = 500
Pilipili hoho = 500
Karoti = 500
Limau = 200

Jumla unapata 15,100. Hii ndiyo hali halisi kwa chakula cha ugali maharage.

Mkuu kuna vingine hapo havinunuliwa kila siku
 
Habari zenu wana JF, Nimevumilia vya kutosha hii tabia sasa naona itakua imefika kikomo.

Naishi na mpenzi wangu hatujafunga ndoa tatizo nashindwa kumuelewa kila siku niendapo kazini na kurudi jioni lazima nimuachie elfu kumi na tano 15,000/-kusudi nikirudi jioni nikute mezani kumependeza nadhani mmenielewa cha ajabu jamani nakuta ugali na dagaa akibadili sana tembere kaomba kwa jirani.

Huu ni ungwana jamani? kumuambia nashindwa naona kama takua naingilia mambo ya jikoni ambayo hayanihusu na nisipokula huo ugali ananuna.

Sielewi nifanyeje wana JF

Pesa haizungumzi; kaa na mpenzi wako mpange bajeti ya nyumbani; vile vitu muhimu kama mchele, unga, sukari, mafuta nunua stock ya mwezi; mwachie tu pesa ya vitu vidogo vidogo kama matunda na mboga za majani na viungo. Kina mama wengi pesa za matumizi ya nyumbani zimekuwa ni za kucheza vibati na kupeleka vikoba
 
Nunua vitu vya jumla kaka kama mchele unga wa ngano sembe mafutaya kula maharage kama una friji nunua nyama XZa jumla au samaki inategemea na mazingira ulipo na upatikanaji wa hivuo vitu baada ya hapo muachie buku 5 inatosha kwa ajili ya vitu vidogo vidogo ijiwezekana vingine kama vitunguu carrot unaweza kununua pia
nimekuelewa mkuu
 
Ngoja tufanye hesabu kidogo yawezekana bibie yuko sahihi maana inawezekana ndani kila kitu ni cha kununua. Karibia sehemu nyingi Dar hali ni hivi.

Mkaa kopo mbili = 3000
Mafuta ya kula kopo mbili = 1000
Nyanya fungu moja = 500
Nazi moja = 700
Unga kilo = 1000
Maharage kilo = 2500
Maji ndoo tano = 500
chumvi = 500
Mkate = 800
Sukari kilo = 1000
Sabuni ya unga = 1300
Sabuni ya kuoga = 500
Kiberiti = 100
Vitunguu = 500
Pilipili hoho = 500
Karoti = 500
Limau = 200

Jumla unapata 15,100. Hii ndiyo hali halisi kwa chakula cha ugali maharage.
ndugu hapo kuna baadhi ya vitu vitu haviishi kwa siku moja mkuu
 
aaaaah! hujamuoa na unakaa nae, halafu anashinda nyumbani!,,,anatafuta mtaji huyo mkiachana utasikia kafungua biashara sehemu....muoe kabisa ili chochote kiwe chenu.
 
kwanza mi mwanamke ambaye hana kazi anakaa tu home hua sipendi, sasa plus matatizo ya msoc ndo kama hivo, haha bahati si mimi ningekua nshamtema long time.. Ugali dagaa kitu gani, japo we jamaa naye hata hujajipanga kabisa, watu wawili tu msoc 450k/m afu dagaa! hahaha.. nikikuita mzemb**e ntakosea? maana unamuogopa mwanamke ambaye ulitakiwa umcontrol afu unakuja kumshitaki JF nadala ya kumface na kumpa reality ya maisha
mtu anayefanya makusudi mkuu huyo hafai kuweka nae mazungumzo anastahili action tu ndo maana nataka ushauri nijue nimfanyaje
 
Back
Top Bottom