15 kubwa wa ndugu ilistahili angalau nikute hata matunda wajameni lakini mmm..
bado sijalipa
jifanye umeishiwa angalau kwa wiki 2,uwe unamuachia book 5 tu,uone atapika nini.
Akiondoka ama akianza visa jua amefuata hela kwako,mdump haraka sana.
kiukweli nimeshamkinai hanifai
Muoe kwanza awe mke wako hayo si maisha
mwanamke ambaye hujafunga nae ndoa sidhani kama inaswihi kumuwekea limitUkweli ni kwamba waweza kujilisha sumu na kujiua mwenyewe,bila mwenzi wako kujua..jambo ni lenu wawili..umeona liakukera kwa nini usifanye nae mazungumzo..unaanza kusema umemkinai.
Kesho unaoa mwingine unamwachia 1000 unapata msosi draft..siyo fair..
Kaa nae chini zungumza nae mwambie ukweli..
Mwanaume haziri atii
hapa natafuta sababu ili nimpe notice ujinga ctaki kabisa mfano angekuwa na mtoto cndo atamkondesha kabisa
we acha tu mkuu ningewaeleza yote humu humu ingekuwa shidaHuyo msichana, maekamilika kweli, kiakili?Labda wakati wakati mkianza urafiki ulizoea kumpatia pesa nyingi, hivyo haoni shida.Pili kwao kukovipi, au ni wale ambao wanapikiwa na wasichana wa kazi.Kama hivyo hata bajeti hawezi.Pia yawezekana ni mvivu wa kupika kwani vyakula vingine vinamchukua muda mrefu kuvipika kikamilifu.Na nina wasi wasi na hata huo ugali kama unaiva.