Habari zenu wana JF, Nimevumilia vya kutosha hii tabia sasa naona itakua imefika kikomo.
Naishi na mpenzi wangu hatujafunga ndoa tatizo nashindwa kumuelewa kila siku niendapo kazini na kurudi jioni lazima nimuachie elfu kumi na tano 15,000/-kusudi nikirudi jioni nikute mezani kumependeza nadhani mmenielewa cha ajabu jamani nakuta ugali na dagaa akibadili sana tembere kaomba kwa jirani.
Huu ni ungwana jamani? kumuambia nashindwa naona kama takua naingilia mambo ya jikoni ambayo hayanihusu na nisipokula huo ugali ananuna.
Sielewi nifanyeje wana JF

nimekuelewa,,,kwenye miti hakuna wajenzi mm hyo 15 nkachiwa nkanunue mchele wa wiki may b na mafuta ya mboga mboga hata 2000 inatosha wkt mwngn hd kchwa knauma ukwaza mboga na hela iloachwa lakn ndo maisha, jarbu kesho ake usiache hela ondoka kmya kmya akikuulza mwmbie ya jana imeisha? thn kaa nae mwambie maisha hayako hvo,,,,hop atak uelewa,,, kwan una kaz gan labda?
na yeye anakula ananisubiri hata kama ni saa tano nikirudi
mtu anaakili timamu cwezi kumuambia apike nini,muda wote naishi nae hajanisoma tu napenda nn cpendi nn,atakua mjingaWewe utakua ni Mme mwema aliyepitiliza...u cant even tell her what u want to eat?? if u cant tell her now u wnt be able to tell her later.. Mazoea hujenga tabia...
mtu anaakili timamu cwezi kumuambia apike nini,muda wote naishi nae hajanisoma tu napenda nn cpendi nn,atakua mjinga
sasa kama vp tangaza dau humu tuna wadada wazuri wanojitambua watapika chakula sawa na pesa uliyoiacha hakika utafaidika kwa jasho lako mkuu
miss neddy... Ennie.....kijana kabanwa huku