Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
812
Habari zenu wana JF, Nimevumilia vya kutosha hii tabia sasa naona itakua imefika kikomo.

Naishi na mpenzi wangu hatujafunga ndoa tatizo nashindwa kumuelewa kila siku niendapo kazini na kurudi jioni lazima nimuachie elfu kumi na tano 15,000/-kusudi nikirudi jioni nikute mezani kumependeza nadhani mmenielewa cha ajabu jamani nakuta ugali na dagaa akibadili sana tembere kaomba kwa jirani.

Huu ni ungwana jamani? kumuambia nashindwa naona kama takua naingilia mambo ya jikoni ambayo hayanihusu na nisipokula huo ugali ananuna.

Sielewi nifanyeje wana JF
 
Habari zenu wana jf, Nimevumilia vya kutosha hii tabia sasa naona itakua imefika kikomo,Naishi na mpenzi wangu hatujafunga ndoa tatizo nashindwa kumuelewa kila siku niendapo kazini na kurudi jioni lazima nimuachie elfu kumi na tano 15,000/-kusudi nikirudi jioni nikute mezani kumependeza nadhani mmenielewa cha ajabu jamani nakuta ugali na dagaa akibadili sana tembere kaomba kwa jirani.Huu ni ungwana jamani?kumuambia nashindwa naona kama takua naingilia mambo ya jikoni ambayo hayanihusu na nisipokula huo ugali ananuna sielewi nifanyeje wana jf
Humuachii hela ya mboga. Unayomwachia ni mshahara wa kumgegeda kwa sababu hujamuoa!
 
Aisee ata Kama ningekuwa mm ningefanya the same. Kwanza hujamuoa so apo Ana buy time tu asepe so lazima ajiwekee akiba yake. Pili evi we na akili zako unaacha 15 daily ushafanya calculations kwa mwezi unampa bei gani? Kama bado basi inakutoka 450,000! Naomba nikufundishe ewe mwanaume, mwanzo Wa mwezi chukua iyo 450,000 nenda mwenyewe kafanye shopping ya vyakula nyumbani kwako, beba kila upendacho then mpelekee home uyo mchumba then daily muachie buku 5 tu ya emergency! Nakuhakikishia iyo 450,000 hautaimaliza unaeza kutumia 300,000 apo ndo umenunua hadi vitunguu!! Ebu jaribu hii
 
mmmh!!hivi wewe hutakuja kuleta hata mambo ya kitandani hapo kweli...we unataka ukute nini na udhani vinauzwa sh ngapi huko unako ishi!
 
Aisee ata Kama ningekuwa mm ningefanya the same. Kwanza hujamuoa so apo Ana buy time tu asepe so lazima ajiwekee akiba yake. Pili evi we na akili zako unaacha 15 daily ushafanya calculations kwa mwezi unampa bei gani? Kama bado basi inakutoka 450,000! Naomba nikufundishe ewe mwanaume, mwanzo Wa mwezi chukua iyo 450,000 nenda mwenyewe kafanye shopping ya vyakula nyumbani kwako, beba kila upendacho then mpelekee home uyo mchumba then daily muachie buku 5 tu ya emergency! Nakuhakikishia iyo 450,000 hautaimaliza unaeza kutumia 300,000 apo ndo umenunua hadi vitunguu!! Ebu jaribu hii
mkuu hayo mahesabu nilishapiga kitambo nilikuwa nikimpa hiyo pesa ili kumvutia asinione bahili sasa nimechoka natoa pesa nyingi alafu sifaidiki na chochote tatumia diplomatic gan
 
Nakushangaeni.....

Mnashindwa nini kwenda sokoni weekend mnunue vitu vya kutosha? Nyanya hoho karoti mvhele maharage matunda? Then muende feri mnunue samaki wa kutosha?

Nyama mnaweza nunua fresh kila leo.

Kisha acha 10 per day

Na huyo gf mwanzishie hata biashara ya kuuza barafu

Na mahitaji yake mengine uyakave
 
Asubh ukiondoka mwambie kabisa leo nataka kula samaki, akikwambia pesa haitosh muulize kilo moja tsh ngapi na unga bei gani..
tatizo mkuu nashindwa kumpa limit kama hizo b'couse hatujafunga ndoa
 
Aisee
Mwambir tu. Usiendelee kuumia kimya kimya
 
mkuu hayo mahesabu nilishapiga kitambo nilikuwa nikimpa hiyo pesa ili kumvutia asinione bahili sasa nimechoka natoa pesa nyingi alafu sifaidiki na chochote tatumia diplomatic gan
jifanye umeishiwa angalau kwa wiki 2,uwe unamuachia book 5 tu,uone atapika nini.

Akiondoka ama akianza visa jua amefuata hela kwako,mdump haraka sana.
 
kuna wengine tumebarikiwa jamani kweli mke mwema hutoka kwa Bwana......unaibiwa jomba in the name of love
 
tatizo mkuu nashindwa kumpa limit kama hizo b'couse hatujafunga ndoa
kwani ndoa ni nini bana?,hiyo ni formality tu,huu ndo wakati wa kumtest kama anafaa ama vipi,unadhani kama ana tabia ya kubana pesa ataacha ukifunga nae ndoa?
 
Naamini bado utakuwa na malalamiko mengine kwa huyo manzi. Funguka mkuu!

The king.
 
Back
Top Bottom