Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

we jamaa ni mzigo ktk familia, uongozi ni kuwa na maamuzi
wewe hufai kuwa kichwa cha family..poor u!
 
Habari zenu wana JF, Nimevumilia vya kutosha hii tabia sasa naona itakua imefika kikomo.

Naishi na mpenzi wangu hatujafunga ndoa tatizo nashindwa kumuelewa kila siku niendapo kazini na kurudi jioni lazima nimuachie elfu kumi na tano 15,000/-kusudi nikirudi jioni nikute mezani kumependeza nadhani mmenielewa cha ajabu jamani nakuta ugali na dagaa akibadili sana tembere kaomba kwa jirani.

Huu ni ungwana jamani? kumuambia nashindwa naona kama takua naingilia mambo ya jikoni ambayo hayanihusu na nisipokula huo ugali ananuna.

Sielewi nifanyeje wana JF
Wenzio tunaachaga buku mbili tunakuta kuku roast daily.Embu na wewe jaribu mkuu.
 
sasa kama vp tangaza dau humu tuna wadada wazuri wanojitambua watapika chakula sawa na pesa uliyoiacha hakika utafaidika kwa jasho lako mkuu
miss neddy... Ennie.....kijana kabanwa huku
 
Last edited by a moderator:
Umeshajaribu kukaa naye chini na kumuuliza swali hili kabla ya kulileta hapa? Unajua bei ya kilo ya nyama, kuku mmoja au samaki? labda anadunduliza kwa ajili ya harusi yenu.


Habari zenu wana JF, Nimevumilia vya kutosha hii tabia sasa naona itakua imefika kikomo.

Naishi na mpenzi wangu hatujafunga ndoa tatizo nashindwa kumuelewa kila siku niendapo kazini na kurudi jioni lazima nimuachie elfu kumi na tano 15,000/-kusudi nikirudi jioni nikute mezani kumependeza nadhani mmenielewa cha ajabu jamani nakuta ugali na dagaa akibadili sana tembere kaomba kwa jirani.

Huu ni ungwana jamani? kumuambia nashindwa naona kama takua naingilia mambo ya jikoni ambayo hayanihusu na nisipokula huo ugali ananuna.

Sielewi nifanyeje wana JF
 
Unashindwa nini kwenda sokoni mwenyewe?
 
Yaelekea ushauri woye uliopewa haukufai mara nitaonekana bahili mara nin cjui sasa c ulihitaji ushauri basi muache?
 
mkuu hayo mahesabu nilishapiga kitambo nilikuwa nikimpa hiyo pesa ili kumvutia asinione bahili sasa nimechoka natoa pesa nyingi alafu sifaidiki na chochote tatumia diplomatic gan



Kuna mambo matatu hapo kwanza atakuwa anahonga jamaa mwingine, pili anatuma kwao au anajenga kibanda kule Mbagala
 
hahahaha...hayo majanga mkuu,roast kuku kwa buku mbili unachapiwa ndugu
Ahahahhahah..basi kama hutaki kuchapiwa pandisha dau mkuu apate na pesa kidogo ya kujiremba,kutumia ndugu zake na vikorombwezo vyengine usipofanya hivyo utakula haragwe mpaka uvimbiwe tena bora uyo wa kwako anaibana iyo iyo mwengine angeenda kubanjuliwa nje.Maisha ya mjini magumu mkuu kama vipi ishi kimpango wako mpaka utakapokuwa tayari kwa ndoa.Ukihitaji nyapu siku moja moja unaenda hostel za chuo fifty tu unang'oa mtoto mkali unabanjua unasepa.
 
Umeshajaribu kukaa naye chini na kumuuliza swali hili kabla ya kulileta hapa? Unajua bei ya kilo ya nyama, kuku mmoja au samaki? labda anadunduliza kwa ajili ya harusi yenu.
kiukweli sikuongea nae kwani vitendo tu anavyovifanya nimazungumzo tosha
 
Ahahahhahah..basi kama hutaki kuchapiwa pandisha dau mkuu apate na pesa kidogo ya kujiremba,kutumia ndugu zake na vikorombwezo vyengine usipofanya hivyo utakula haragwe mpaka uvimbiwe tena bora uyo wa kwako anaibana iyo iyo mwengine angeenda kubanjuliwa nje.Maisha ya mjini magumu mkuu kama vipi ishi kimpango wako mpaka utakapokuwa tayari kwa ndoa.Ukihitaji nyapu siku moja moja unaenda hostel za chuo fifty tu unang'oa mtoto mkali unabanjua unasepa.
hahahaha...aisee we jamaaa wewe nimekuelewa lakini ushauri wako wa kunyemelea hosteli noma sana
 
Inaelekea unampenda ndio maana umeamua kuishi naye. Kaa naye chini kuongea yale yanakuyokukosesha raha katika mahusiano yenu labda utaelewa tatizo nini mpaka kila siku unakuta ugali na dagaa, na hivyo vitendo vyake mwambie pia labda ataweza kujirekebisha hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kila la heri.

kiukweli sikuongea nae kwani vitendo tu anavyovifanya nimazungumzo tosha
 
Labda hajui kupika, mpeleke kwa farkhina akafundishwe mapishi.
 
Last edited by a moderator:
Nikafikiri pengine ana ajenda ya siri..
hahahahahahah....swali gani sasa hili wakati mwenzio anasema hafaidi na pesa anayoiacha
kila cku ni misumari tu..bora liende!
 
Back
Top Bottom