Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,103
- 4,685
Hio sympathy imekujia baada ya jamaa kukufungua kua Nchi ina ujinga hii..umeelewa nini jamaa anapigania na ni kwa namna gani mmekua munajifanya kutomuelewa mtu anaepigania maslahi yenuJamaa pale kapuyanga ,yaani anaenda nje ya mada
.Sijaona professionalism kabisa ,jamaa anatafuta public sympathy hapo analeta stori, anatia huruma sana .
Sijaona point hapo😅😅ukweli huyo jamaa hamna kitu kichwani ,yaani mpaka wanaompinga wanamuonea huruma ,ikiwa ni pmoja na mimi.Hio sympathy imekujia baada ya jamaa kukufungua kua Nchi ina ujinga hii..umeelewa nini jamaa anapigania na ni kwa namna gani mmekua munajifanya kutomuelewa mtu anaepigania maslahi yenu
Huna unachojua..hata Katuga hajui..ana haha kujua ni kipi kimejengwa Leo na kwa Muktadha upi Kisheria huko mbele ya Safari ya Kesi...Jamaa pale kapuyanga ,yaani anaenda nje ya mada
.Sijaona professionalism kabisa ,jamaa anatafuta public sympathy hapo analeta stori, anatia huruma sana .
Unalia ,msekule wa Lissu hata utiwe kidole unasifia tu ...Angalia wenzie wameshaona hamna kitu hapo ,analeta stori za vijiweni.Huna unachojua..hata Katuga hajui..ana haha kujua ni kipi kimejengwa Leo na kwa Muktadha upi Kisheria huko mbele ya Safari ya Kesi...
Kaa kwa kutulia...tu..
Tatizo wote huko hamnazo hasa wewe..hujui Lissu sasa status yake ni Shahidi.Unalia ,msekule wa Lissu hata utiwe kidole unasifia tu ...Angalia wenzie wameshaona hamna kitu hapo ,analeta stori za vijiweni.
Wakati wa bunge la katiba mtwara mjini Kuna sehemu kulikuwa na tv kubwa na watu walikuwa wanajaa kwenda kumsikiliza lissu hata wa cccm naoUnalia ,msekule wa Lissu hata utiwe kidole unasifia tu ...Angalia wenzie wameshaona hamna kitu hapo ,analeta stori za vijiweni.
Semeni ukweli ,jamaa hamna anachojua analeta huruma 😅😅Tatizo wote huko hamnazo hasa wewe..hujui Lissu sasa status yake ni Shahidi.
😅😅Huyo hamna kitu ,anapenda ubishi ila uwezo wake wa kawaida sana ...Naona anapuyanga sana ,kusini hawana time naye .Wakati wa bunge la katiba mtwara mjini Kuna sehemu kulikuwa na tv kubwa na watu walikuwa wanajaa kwenda kumsikiliza lissu hata wa cccm nao
Mimi nipo kusini ndio nakueleza kuhusu huyo Lissu....huyu Hana kitu kuliko nani?😅😅Huyo hamna kitu ,anapenda ubishi ila uwezo wake wa kawaida sana ...Naona anapuyanga sana ,kusini hawana time naye .
Hamna kitu kama hicho ,kusini hakuna anayefuatilia CHADEMA ...labda useme ni wapi ,nimekaa sasa huko.Mimi nipo kusini ndio nakueleza kuhusu huyo Lissu....huyu Hana kitu kuliko nani?
Kusini ni lindi,mtwara na ruvuma kwahiyo wewe chawa umekaa sehemu zote ?Hamna kitu kama hicho ,kusini hakuna anayefuatilia CHADEMA ...labda useme ni wapi ,nimekaa sasa huko.
Wewe chawa wa Lissu ,unapambania ujinga wakati mwenzio kambwela ..Unatetea ujinga ,hakuna sehemu CHADEMA kusini imeshika hatamu ,acha ushamba wako na uchawa😅Kusini ni lindi,mtwara na ruvuma kwahiyo wewe chawa umekaa sehemu zote ?
Nimekuuliza swali jepesi binti yanguWewe chawa wa Lissu ,unapambania ujinga wakati mwenzio kambwela ..Unatetea ujinga ,hakuna sehemu CHADEMA kusini imeshika hatamu ,acha ushamba wako na uchawa😅
Wewe fala eti wanaweka Tv ,sema wapi wanaweka 😅😅kwa hiyo Kusini kote waache kazi waangalie ujinga ,huku kusini hawafuatilii ujinga...Kijana achana kusambaza uchawa wa watu ,waache wafanye maisha yao...😅Msekule wa Lissu una tabu sàna.Nimekuuliza swali jepesi binti yangu
Nimekuuliza swali jepesi umewahi kukaa sehemu zote kusini? Na kwakuwa ukiwa cccm lazima uwe muongo inawezakana hata kusini kwenyewe haujawahi kufikaWewe fala eti wanaweka Tv ,sema wapi wanaweka 😅😅kwa hiyo Kusini kote waache kazi waangalie ujinga ,huku kusini hawafuatilii ujinga...Kijana achana kusambaza uchawa wa watu ,waache wafanye maisha yao...😅Msekule wa Lissu una tabu sàna.
Mpumbavu wewe nwanaume anajenga hoja ya kesi nzima. Na hii ndio imetuonyesha kwanini mna muogopa wewe Dada chawa subiri muone anakoishia atawavua hayo Madera yenu mbakie na hivyo viskintight vyenu vichafuJamaa pale kapuyanga ,yaani anaenda nje ya mada
.Sijaona professionalism kabisa ,jamaa anatafuta public sympathy hapo analeta stori, anatia huruma sana .